mwambie aipige picha then aipost humu tuione ili tujue tatizo hasa ni nini?peleka kwa hospitali huku ukiendelea kupata ushauri wetu.Angalia unaweza poteza kijiko cha kulia wali!!!!!!
mwambie aipige picha then aipost humu tuione ili tujue tatizo hasa ni nini?
Kuna Rafiki Yangu Mmoja Wa Kiume Amenieleze Kuwa Sehemu Ya Uume Wake Kwa Mbele Inakuwa Inawasha Sana Hivyo Ajajua Tatizo Kama Ni Ugonjwa Au Ni Nini?
kama akijikuna anasikia kama kautamu ...
mwambie aipige picha then aipost humu tuione ili tujue tatizo hasa ni nini?
...na kama ana pori afyeke!Ina sound kama kale kagonjwa maarufu...wamarekani wanakaita crap (spellings). Kama ndicho hicho, huwa kana kwisha chenyewe baada ya siku kadhaa. Vinginevyo inabidi akamwone daktari ili apewe antibiotics. Muhimu ni kutojishirikisha na zinaa (ili kuto usambaza kwa wengine) mpaka apone.
Otherwise, inaweza kuwa ni joto au uchafu wa kawaida. Hajaribu kuoga kwa maji ya moto na (chumvi?). Pia kama ana msitu, mwambie anyowe.
duh, hebu mwambieni amuulize mpenzi wake kama naye anawashwa! kama ni ndio wote wawili wamwone Dk, wasione haya....kuna magonjwa mengi ya kuwasha kama trichomonas, fungus, syphilis huwezi kujua lipi limewakalia. wasione haya waende wakapimwe hospt......
...na kama ana pori afyeke!
...na kama ana pori afyeke!
steve wewe!!!!!!!!!!!!!!!! ati afyeke na kama anataka usaidizi tuanze kununua slashers au ni lawn mowers. wana JF sisi we are ready to help anytime anywhere...........
He he he! Jamani kama nanihii wake anapenda hilo pori kucheza nalo, mara kalisuka mara kalifumua mara kalichana afro ali mradi nanihii wake anafurahia hilo pori badala ya kipara... Watu tuna choice tofauti ati!....