Sehemu Ya Siri Inakuwa Inawasha Sana Je Ni Ugonjwa Au ?

XINGLUX

Member
Mar 31, 2008
17
1
Kuna Rafiki Yangu Mmoja Wa Kiume Amenieleze Kuwa Sehemu Ya Uume Wake Kwa Mbele Inakuwa Inawasha Sana Hivyo Ajajua Tatizo Kama Ni Ugonjwa Au Ni Nini?
 
naweee pia ... kama umeshindwa kuelewa tatizo mpeleke au nenda hospitali kabla tatizo halijawa kubwa ... mficha uchi hazai ... wazee wetu wanasema ... kama umefanya siri / au mwenzio kafanya siri sasa yamedhihirika sasa.... kwani yaelekea tatizo hilo ni sugu mpaka unaamua kusasambua

Pole sana .. engine hiyo iwahishe gereji
 
peleka kwa hospitali huku ukiendelea kupata ushauri wetu.Angalia unaweza poteza kijiko cha kulia wali!!!!!!
 
peleka kwa hospitali huku ukiendelea kupata ushauri wetu.Angalia unaweza poteza kijiko cha kulia wali!!!!!!
mwambie aipige picha then aipost humu tuione ili tujue tatizo hasa ni nini?:rolleyes:
 
mwambie aipige picha then aipost humu tuione ili tujue tatizo hasa ni nini?:rolleyes:

...duuuuh! ha ha haaa... hiyo kali. Nilitaka nimshauri aendelee kujikuna tu, lakini naona ushauri wako barabara!

...huenda umeathirika na gonjwa la zinaa iwapo siku chache zilizopita ulikutana kimwili! ...ushauri hapo ni kukimbilia haraka hospitali, ikiwezekana pamoja na huyo mlokuwa naye 'faragha' mkapate matibabu na ushauri nasaha.

kinyume na hapo inawezekana ikawa ni fungus tu, japo pia unahitajika kuonana na daktari akupe ushauri wa dawa na njia mbadala za kujiweka safi wakati wote.
 
Kuna Rafiki Yangu Mmoja Wa Kiume Amenieleze Kuwa Sehemu Ya Uume Wake Kwa Mbele Inakuwa Inawasha Sana Hivyo Ajajua Tatizo Kama Ni Ugonjwa Au Ni Nini?

Ina sound kama kale kagonjwa maarufu...wamarekani wanakaita crap (spellings). Kama ndicho hicho, huwa kana kwisha chenyewe baada ya siku kadhaa. Vinginevyo inabidi akamwone daktari ili apewe antibiotics. Muhimu ni kutojishirikisha na zinaa (ili kuto usambaza kwa wengine) mpaka apone.

Otherwise, inaweza kuwa ni joto au uchafu wa kawaida. Hajaribu kuoga kwa maji ya moto na (chumvi?). Pia kama ana msitu, mwambie anyowe.
 
kama akijikuna anasikia kama kautamu basi zitakuwa fangasi!otherwise mwambie asijikune maana atapata michubuko bure!maumivu yakizidi amwone daktari
 
nenda kamuone daktari!! infact kimbia!!!!! the longer u wait the worse the situation becomes! usione aibu kwani najua wengi wetu tunaona aibu, this things are normal, na sio lazima uwe ulikuwa reckless, u know what i mean!!
 
Ina sound kama kale kagonjwa maarufu...wamarekani wanakaita crap (spellings). Kama ndicho hicho, huwa kana kwisha chenyewe baada ya siku kadhaa. Vinginevyo inabidi akamwone daktari ili apewe antibiotics. Muhimu ni kutojishirikisha na zinaa (ili kuto usambaza kwa wengine) mpaka apone.

Otherwise, inaweza kuwa ni joto au uchafu wa kawaida. Hajaribu kuoga kwa maji ya moto na (chumvi?). Pia kama ana msitu, mwambie anyowe.
...na kama ana pori afyeke!
 
Hilo dude la zinaa aisee wmambie akimbie fasta akapate dawa...naache kula kavu!
 
duh, hebu mwambieni amuulize mpenzi wake kama naye anawashwa! kama ni ndio wote wawili wamwone Dk, wasione haya....kuna magonjwa mengi ya kuwasha kama trichomonas, fungus, syphilis huwezi kujua lipi limewakalia. wasione haya waende wakapimwe hospt......
 
Na UKIMWI hauko mbali kama mambo yenyewe ndo hayo!! Ikiwa kuwasha kumekuja baada ya ku.... basi ajue ana hatari ya kuuukwa...be careful next time.
 
...na kama ana pori afyeke!

steve wewe!!!!!!!!!!!!!!!! ati afyeke na kama anataka usaidizi tuanze kununua slashers au ni lawn mowers. wana JF sisi we are ready to help anytime anywhere...........
 
siyo vibaya ukisema ni wewe mwenyewe si lazima utumie rafiki yako. hata vinyo ni bora aende hospitali maana kukuna kwenye uume inaonekana ana tatizo
 
steve wewe!!!!!!!!!!!!!!!! ati afyeke na kama anataka usaidizi tuanze kununua slashers au ni lawn mowers. wana JF sisi we are ready to help anytime anywhere...........

He he he! Jamani kama nanihii wake anapenda hilo pori kucheza nalo, mara kalisuka mara kalifumua mara kalichana afro ali mradi nanihii wake anafurahia hilo pori badala ya kipara...:) Watu tuna choice tofauti ati!....:)
 
ahahahahahhahaaha u made my sunday!!!! haya hebu tuwachane na mapori ya watu, yana raha zake LOL, zinasukwa rasta, mara ni cornrows, sijui kama treatment pia na conditioning......makubwa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom