Sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro inaungua moto!

Huu moto unaoendelea mlima kilimanjaro kuanzia jana utakuja kuondoka na uwaziri wa Kigwangalah ,haiwezekani mlima unaingiza hela nyingi lakini hakuna vifaa vya kuzimia moto au tahadhari yoyote vifaa wanasubiria Arusha na Moshi kutoka kwa wazima moti
 
Msitu wa Mlima Kilimanjaro unawaka Moto tangia Jana na hadi leo ni kuwa TANAPA bado hawajaweza kuudhibiti

TANAPA wanasema wamechukua wanavijiji na wanafunzi wa Chuo cha Utalii cha Mweka kwenda kusaidia kuzima moto huo

Tumeshuhudia moto ukiwaka kwenye misitu mingine Duniani tena kwenye mataifa yenye teknolojia kubwa za kupambana na majanga hayo lakini ikawa ni ishu kuuzima.

Nashauri Serikali ingetuma haraka Kikosi cha JWTZ kikiwa na vifaa vya kutosha ili kuuzima moto huu mara moja usiwe ukawa mkubwa hadi ukawa uncontrollable.

Hizi ndio emergency za kutumia Jeshi letu na sio kulitumia kukusanya korosho au kufunga maduka ya forex huku kwenye majanga real tunatumia wanavijiji.
 
Ushauri mzuri
 
Wajitahidi kupambana
 
Attachments

  • IMG-20201012-WA0025.jpg
    IMG-20201012-WA0025.jpg
    29.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom