MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,836
- 3,537
Kwani mkuu kitendo cha maji ya mto kukauka kwani ni kitendo cha usiku na mchana tu....vile yakianza kupungua jamaa wanahisi hiyo hali na kutokomea mbali kuliko na maji.Ndugu wakimaliza kukujibu Swali lako tafadhali niulizie na Mimi kuwa je, wale Mamba ambao huwepo katika Mito mbalimbali ile Mito ikikauka hupotea ghafla huwa wanapotelea wspi?