Sehemu/Vitu/Kiungo katika Mwili wa Binadamu ambacho hakina sababu ya Kuwepo

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Nmekuwa nikiwaza sana. Kuwa kuna sehemu/kiungo au vitu ambavyo havina sababu ya kuwepo kwenye mwili wa binadamu au havina kazi?

Nikawa nawaza hizi nywele za huku sehemu za siri zina kazi gan? Kuzunguka sehemu za siri tu na pia wengine wanazo katikati ya makalio.

Nikaja gundua style ambayo binadamu tuliumbiwa kufanya tendo la ndoa ni missionary position au kifo cha mende.zile styles nyingine ni mbwembwe tu za shetani.sijui mbuzi kagoma, popo kanyea mbingu,kibajaji mtaroni na chura fumbato.

Kwa hiyo kwa kifo cha mende ili kuondoa michubuko ndo maana kukawekwa zile nywele sehemu za siri ili mnapokuwa mnafanya kitendo kuwe to smooth na ukiangalia hata nywele za kule ni laini sana.hivyo kunaondoa michubuko/misuguano ya ngozi/mwili au ugumu.

Zile za nyuma zinasaidia kupunguza michubuko ya kwenye makalio unapotembea na pia hata unapotoa gesi kwa nyuma isitoe mlio...iwe kimya kimya.ukinyoa kule nyuma halafu ukatoa gesi inatoka kwa sauti sana.pia kunakuwa na michubuko sababu ya makalio kusuguana.

Nikaja kugundua inawezekana hamna kitu,sehemu au kiungo ambacho hakina kazi mwilini...

Mwenzangu unadhani sehemu gan,kitu gani au kiungo gani hakina kazi ili tupeane darsa hapa na itusaidie tuanze kuheshimu viungo na sehemu husika. Au tusitumie kinyume na matumizi kusudiwa.

Tuendelee kuelimishana. Usipuuze kitu kilichoko mwilini mwako na usikitumie vibaya au usiache bila kutumika.kila kitu kina makusudi yake.
 
Back
Top Bottom