O omarhad Member Dec 25, 2019 93 78 Feb 2, 2020 #1 Ule ukuta maarufa Kama Trump's wall border waezuliwa na upepo leo... Safari hii sidhan kama ni wamexico watalipia hii hasara iliyotokea Sent using Jamii Forums mobile app
Ule ukuta maarufa Kama Trump's wall border waezuliwa na upepo leo... Safari hii sidhan kama ni wamexico watalipia hii hasara iliyotokea Sent using Jamii Forums mobile app
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,364 94,544 Feb 2, 2020 #2 Huo ulikuwa wajengwa na ilidondoka frame 1. Maana walikuwa hawajaweka zege Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ulikuwa wajengwa na ilidondoka frame 1. Maana walikuwa hawajaweka zege Sent using Jamii Forums mobile app