Sehemu Sahihi Ya kupumuzika Na familia au Wapenzi

kindboy

Senior Member
Dec 11, 2010
142
28
Napenda kuwa tambulisha kwenu sehemu nzuri ya kupumzika kama upo Arusha ,
Hii Iko Maeneo ya Njiro kama Kilomita 8,kutoka Clock tower, Inaitwa Njiro Climax resorts.

Ina Eneo Zuri Kwa Events Mbalimbali, Kama Meetings. Harusi, Mikutano, lakini Pia kuna Accommodation facilities, kwa bei nzuri.
Kuna garden kubwa zenye maeneo ya kutosha pia na Parking kubwa

Iko pia maeneo ya michezo kwa watoto, na Kwa wale wapenda Sports Kuna Sport Bar nzuri kabisa.

unaweza pitia hapa kwa maelezo zaidi na mawasiliano ( www.climaxresorts.com)
 
Asante kwa promo. Ngoja tulipwe magwangala yetu na yule pua ndefu. Tutakuja kupunguza maumivu ya ulofa mkuu wangu.
 
Napenda kuwa tambulisha kwenu sehemu nzuri ya kupumzika kama upo Arusha ,
Hii Iko Maeneo ya Njiro kama Kilomita 8,kutoka Clock tower, Inaitwa Njiro Climax resorts.

Ina Eneo Zuri Kwa Events Mbalimbali, Kama Meetings. Harusi, Mikutano, lakini Pia kuna Accommodation facilities, kwa bei nzuri.
Kuna garden kubwa zenye maeneo ya kutosha pia na Parking kubwa

Iko pia maeneo ya michezo kwa watoto, na Kwa wale wapenda Sports Kuna Sport Bar nzuri kabisa.

unaweza pitia hapa kwa maelezo zaidi na mawasiliano ( www.climaxresorts.com)
Ingekua vizuri ukatuwekeapo picha mkuu tuone mandhari
 
Njiro Climax Flyer Front.jpg
 
Back
Top Bottom