Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huyo mtoto amebebwa na baba yake kwenye baiskeli ambayo kama inavyoneekana kwenye picha baba yake amemtengenezea na ujumbe kwamba kwamba mwanae atakuja kuwania Uraisi kupitia CCM siku moja akikuwa, huyu ni mtoto wa Kitanzania anayesoma Shule ya Kata wa mzazi wa kipato cha chini lkn bado baba yake ana ndoto kwamba mwanawe siku moja anaweza kuja kuongoza TanZania, wazungu wanasema why not kama Magufuli ameweza, why not!!