Sehemu nzuri iwe hotel tulivu kwa ajili ya Mapumziko ya X mass

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakubwa naomba mnijuze sehemu ambayo naweza kwenda kutuliza machungu ya mwaka huu mwisho wa mwaka huu kuanzia tarehe 22.12.2013 mpaka mwaka mpya.
Mikoa morogoro, Dar ,Zanzibar na Dodoma.
Sehemu tulivu isiyo na kelele gharama muhimu ukiwa pekee yako,couple au familia
 
hata "kuokoka ni lazima guest house",tandale,ni pazuri pia,gharama ni nafuu mno,kulala kwa siku ni tsh 3000 tu.!
 
Wakubwa naomba mnijuze sehemu ambayo naweza kwenda kutuliza machungu ya mwaka huu mwisho wa mwaka huu kuanzia tarehe 22.12.2013 mpaka mwaka mpya.
Mikoa morogoro, Dar ,Zanzibar na Dodoma.
Sehemu tulivu isiyo na kelele gharama muhimu ukiwa pekee yako,couple au familia

Karibu nelly' s Inn Mbezi beach DSM karibu na ufukwe wa bahari. Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa.
 
Kuna hotel IPO moshi. Km 4 kutoka Kilimanjaro national park. Self contain. inaitwa kilnopark hotel. Wasiliana nao . 0653 332363
 
nashauri uende sehemu zenye beach.utulivu utaupata ukiwa room but at the same tym ukitaka kusafisha macho unaenda ufukweni..kuliko uende hotel ambayo haina refreshment zaid ya tv yako chumbani..
 
Sebuleni kwako na familia ni pazuri zaidi kuliko hotel!
Mkeo/dem apike chakula kizurii kama cha hotel nunueni na wine, movies na cd za jim leeves xmas ni nzuri nyumbani coz ita a "family day" baada ya kutoka kanisani ni nyumbani huwa inaleta raha sasa wewe Yesu kazaliwa unataka kwenda kushaharekea hotel tena labda na kimada! Kaa nyumbani unakimbia nini? Pesa reserve mwaka mpya uende popote hata dubai ukale bata.
 
Back
Top Bottom