Sehemu iliyotulia Dodoma

Nenda nyuma ya uwanja wa Jamhuri kulikuwapo na bar zamani maeneo hayo. Waulize hiyo bar ilihamishiwa wapi, watakuelekeza utaenda maeneo ya Singida hutojuta kufika hapo.
 
Wakuu umofia kwenu?

Natafuta pub au sehemu yoyote kama bar iliyojificha ficha maeneo ya Dodoma. Nataka niende na mtoto sasa sipendi sehemu yenye watu wengi.
Njoo hapa darajan bar karibu na kanisa katoliki cathedral
Au njoo hollycross nyuma ya kanisa hilo hilo
Au njoo kito bar
Ukishindwa kabsaa Niambie nikupe mchongo mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom