Njoo hapa darajan bar karibu na kanisa katoliki cathedralWakuu umofia kwenu?
Natafuta pub au sehemu yoyote kama bar iliyojificha ficha maeneo ya Dodoma. Nataka niende na mtoto sasa sipendi sehemu yenye watu wengi.
Njoo hapa darajan bar karibu na kanisa katoliki cathedral
Au njoo hollycross nyuma ya kanisa hilo hilo
Au njoo kito bar
Ukishindwa kabsaa Niambie nikupe mchongo mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh kito pako wazi mkuu...nipe mtonyo mwingineNjoo hapa darajan bar karibu na kanisa katoliki cathedral
Au njoo hollycross nyuma ya kanisa hilo hilo
Au njoo kito bar
Ukishindwa kabsaa Niambie nikupe mchongo mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Check hizo sehem nyingineOh kito pako wazi mkuu...nipe mtonyo mwingine
Nataka maeneo kama pizzeria hivi
unataka kula konokono mkuu?Nataka maeneo kama pizzeria hivi
Pale pako wazi sanaNenda 4ways
NkuhunguNenda 4ways
Pale pako wazi
Nenda chooniPale pako wazi
Fantasy village utafurahia sana pametuliaWakuu umofia kwenu?
Natafuta pub au sehemu yoyote kama bar iliyojificha ficha maeneo ya Dodoma. Nataka niende na mtoto sasa sipendi sehemu yenye watu wengi.