Sehemu hii inanipagawisha sana

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
8,378
12,291
Sehemu hii ya wenzetu huwa inanipagawisha sana hasa ikiwa inavutia kama hivi.Nikimuona mwanamke ana mguu mzuri kama huu ninaweza hata nikawa namfuata ili tu niwe naiangalia sehemu hii tamu,nikiipapasa ndio napagawa kabisa.
Hakuna kitu duniani kitamu kukigusa kama sehemu hii hata uwe na sura nzuri vipi lakini sehemu hii haina mvuto sikushobokei ninapenda sana wanawake wenye sehemu hizi nzuri wawe wanavaa sketi zisizovicha sehemu hii nzuri ili nipate kuitazama nisikie raha
Wenye miguu mizuri embu njooni chemba basi.
 

Attachments

  • Photo0305.jpg
    Photo0305.jpg
    4.2 KB · Views: 111
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom