Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

Moto wako uta kuwa was kipekee😀🤣
🥴🥴🥴 mtoto akilikia wembe unampa tu.. mtu akienda kwa boda boda ( waendesha piki piki za abiria ), kuna mambo atapata.. kuna mahala nilikuwa na urafiki na boda boda..akaanza niambia wake wa watu wanao jiuza.. wame wapa na namba zao
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom