Sehemu gani kwa mbeya inayolipa kwa biashara ya chakula

onedayyes

Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
12
Points
45

onedayyes

Member
Joined Oct 4, 2017
12 45
Za leo wa ndugu,mimi ni msichana wa miaka 23 ni mwanafunzi wa chuo(must) nipo mbeya,,Nimebahatika kupata mtaji wa milioni moja,,nimewaza biashara gani ya kufanya nikaamua kufanya biashara ya chakula,,sasa tatizo linakuja sijui ni mahala gani pazuri pa kufungua mgahawa wa chakula na chipsi
Kwa wakazi wa mbeya naomba mnishauri,,au kama unawazo tofauti na la kufungua mgahawa kwa mtaji wangu huo naomba pia mnishauri.
Asanteni
 

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
2,565
Points
2,000

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2014
2,565 2,000
Jaribu kutafuta fremu maeneo ya Forest ya Zamani karibu na Chuo za Mzumbe nadhani utapata vichwa vingi kikubwa uwe na Bei nzuri eneo hili linapakana na Vyuo Vingi kwaiyo jaribu kutafuta Fremu maeneo hayo utapata wateja tu
 

Forum statistics

Threads 1,391,468
Members 528,409
Posts 34,081,998
Top