Sehemu alipowahi kufika Bikira Maria Mama yake Na Bwana Yesu nchini Turkey.............

Syria,iraq,jordan, ni sehemu ambazo manabii waliishi ama kuzaliwa,kwa kuwa wanaikataa Biblia migogoro haitaisha mpaka kesho

pumb**********fffffff km huko wameishi manabii mbna nyny dini mnafuata kwa watu wa ulaya ambao wanawalazisha muwe mashoga ndio awape misaada ktk makanisa yenu?je?kuna nabii aliyeshuka ulaya?
 
10450796_543948952371400_3980849013415979782_n.jpg

10635889_543948962371399_5486299513927789180_n.jpg

Bikira Maria anaipenda nchi ya Tanzania.........anaiombea Tanzania isitengane........

ndio wana kondoo mnavyodanganywa na makasisi wenu wanaowa************ huko makanisani sanamu lisilo weza hata kujilinnda iweje liweze kuwaombea nyny wanakondoo wa tz?yaani bora kuku mwerevu kuliko waru wa dini hii
 
Ndugu chunga sana ULIMI wako!
 
ndio wana kondoo mnavyodanganywa na makasisi wenu wanaowa************ huko makanisani sanamu lisilo weza hata kujilinnda iweje liweze kuwaombea nyny wanakondoo wa tz?yaani bora kuku mwerevu kuliko waru wa dini hii

ujinga au werevu wa mtu ujulikana kwa kusikiliza asemayo kusoma maandishi yake na kusikiliza maoni yake.Ndio maana interview ya kwanza ya mzungu ni kukujua wewe akili yako au ujinga wako kwa kuzungumza na wewe kuhusu maisha
 
Naomba kujuzwa,bikira Maria alifika hapo akitokea wapi,wakati gani,kusudi la kufika hapo ni nini na alienda na nani hapo?
 
Naomba kujuzwa,bikira Maria alifika hapo akitokea wapi,wakati gani,kusudi la kufika hapo ni nini na alienda na nani hapo?

Ninachojua (wanaojua zaidi watanisahihisha) ni kwamba wakati Yesu Anasulubiwa alimwambia yule Mwanafunzi aliyempenda(Yohana)

" Mama! Tazama huyu ni mwanao, Mwana Tazama huyu ni Mama Yako...kuanzia siku ile yule Mwanafunzi alimchukua Bikira Maria na kwenda kuishi naye"

Kadiri ya Historia inasemekana Yohana aliyekabidhiwa Maria alielekea nchi za Asia ikiwemo Uturuki...
 
Kuna sehemu "landmarks" nyingi duniani za kihistoria zimebuniwa zinazodaiwa Nabii fulani, au mtakatifu fulani alikuepo/aliishi/alifia hapo kumbe ni usanii wa kuvutia utalii tu, na Turkey pia kinara sana kwa hilo...sisemi kwamba hiyo sehemu Mtukufu Mary hajafika ila natahadharisha tu hawa waturuki ni wasanii sana, pia wanasema Noah's ark ( Merikebu la Nabii Nuhu ) pia liko kwao na mengine mengi tu kama hayo..Ni kweli Uturuki ina historia kubwa lakini pia ni wabunifu waliobobea toka kale..kupokea watalii zaidi ya 27 milioni kwa mwaka si bure, wamejipanga vilivyoo.!
 
Back
Top Bottom