Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

View attachment 1385319

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa

Huyu Dada Hilder Newton Chadema hua nampendaga namfollow Insta na posts zake na-like sana!

It always hit me,ana passion na chama chake sana,I have never seen a chick this passionate aisee!

Down for forever chick aisee!

I really have to wonder how is this chick so loyal to CHADEMA its fascinating scenario!
 
Anaandika John Mrema kupitia twitter:

Tutakuwa na press saa tano kuwapokea wanaotoka Magereza Leo . Waandishi karibuni sana
Jana ilikuwa faraja na waandishi wa habari.. Kigaila na makamu Zanzibar
1. Walipotamka kuwa zimefika 239,000,000 walishangilia kwa kupiga makofi.
2. Waliposema tutawatoa wanawake, walishangilia kwa makofi.

TAKE HOME MESSAGE: KUUNGWA MKONO NA JUMUIYA YA WAANDISHI WA HABARI
 
Back
Top Bottom