Tetesi: Segerea kumekucha,vikao vya kumng'oa Bonnah vimeanza

Katiba ya nchi na vyama vinatambua miaka mitano tu Hiki Ni kipindi Cha Kila anayetaka post yeyote kujiandaa bila woga Wala hofu yeyote uchaguzi mwakani na hakuna mwenye hati miliki kuwa lazima awe yeye kwenye post zozote za kuchaguliwa.Bona Kalua awe mpole tu
Kasoro ofisi kubwa? Maana maandalizi sikuhizi yamebatizwa jina UHAINI!
 
Watu wa CCM akili zenu zilivyo hovyo sitashangaa mkimpa ubunge Mariam Biriani, kwani naye si Mkazi wa Tabata pia. Kuna tofauti gani Kati yake na kibajaji, musiba, msukuma, Bashite, Hapi, Mkaamia, nduguayi,Yule mvuta bange alorithi ubunge kwa bimkubwa wake,lambebez etc.
2020 TWENDE NA MARIAM BIRIANI.
 
Tunapoelekea Uchaguzi wa Urais na Ubunge mwakani jimbo la Segerea kumekucha, vikao vimeanza na Mbunge wa Jimbo hilo Bonnah Kamoli ana wakati mgumu sana.

Baadhi ya watu wanaofanya vikao sasa kuhakikisha Jimbo wanalibeba kutoka kwa Mbunge Bonnah ni Mhasibu wa Shule za Tusiime na Vikao vimekwisha anza na kufanyikia hapo shuleni Tabata, Kuna Mwana Dada anaitwa Palina Ninje (Pichani) huyo ndiyo mastermind mwenyewe.

Wengine wanaofanya vikao ni Scholastica Kevela huyu alipambana na Bonnah hata chaguzi iliyopita, hakika sasa moto umeanza kuwaka.
Tunaona yanayojiri kwenye CCM na huku mtaani nako ni balaa tupu.View attachment 1159530
weka CV yake....ana lips nzuri
 
Mi najipanga panapo majaliwa 2025 lzm nilete uzushi kwenye jimbo langu,liwalo na liwe.
Nalog off
 
Tuheshimu Katiba.
Kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Daftari la wapiga kura limeanza kuboreshwa Kwa hiyo hata wanaopigiwa kura nao wameanza maboresho.

Katika nchi za Kidemokrasia huwezi kushinda urais kama kuokota Dodo kwenye mti wa mkoko.
Lazima ujipange upangike na ueleweke.
Kuna watu walianza kutafuta uongozi Kwa miaka 30 wakaupata wakiwa wazee.
 
Wamwacheee bonnah....
Muonekano wake tu mjengoni tosha
Hayo mambo ya jimbo kutaka maendeleo.... Mtajijuaa Wananchi hko


Ova
 
Huyo kwenye picha ndo wewe. Hongera na wanja wako Kama service road 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom