Tetesi: Segerea kumekucha,vikao vya kumng'oa Bonnah vimeanza

jamani kutangaza nia ya kugombea siyo tatizo maana inatakiwa kutangaza nia na kuonyesha mikakati yake ili sisi raia wa kawaida tuweze kulinganisha na aliyopo madarakani na wakati ukifika tutajua ni yupi anayefaa zaidi,mbona Marekani uchaguzi ni mwakani lakini wanajiona kuwa wanafaa kwenye nafasi yeyote wanajitokeza na kutoa sera zao mpaka kiti cha uraisi na wala hamna shida yeyote?
Sisi ushamba umetuzidi tunajiona ukiwa mbunge au rais basi una hati miliki na ndio tatizo,mbunge wetu wa zamani mpaka alikuwa akisema akimaliza yeye tumpe mwanawe,tukamchinjia baharini si yeye wala mwanaume,tukamchagua mtu baki kabisa ili kumtia adabu.
Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom