2014 alikuwa na 39 yrsHello toka 2014 upo lonely tu, una tatizo gani? Au ni style yako ya kutafuta k mteremko?
Am lonely male
Looking for a woman. Am 39 years of age now with one kid and lonely. Story zaidi ni inbox.www.jamiiforums.com
Hello toka 2014 upo lonely tu, una tatizo gani? Au ni style yako ya kutafuta k mteremko?

Wazee wa kufukua2014 alikuwa na 39.
2019 ana 40.
Wazee wa kufukua
Kuna Uzi wa 2014 alisema anamika 39,lakini Leo 2019 amevuka mwaka mmoja ana miaka 40.We jamaa 40 bado unataka chat...nyoosha maelezo
Huyo kwenye prof ni ww? Kama ni wewe njoo pmheeee
mhHuyo kwenye prof ni ww? Kama ni wewe njoo pm
Acha woga
Siyo kama wamenifuma mkuu. Mimi ni mwanachama wa sikunyingi Jf. Haya yote nilijua yatatokea tu. Ningeweza ku-regist ID mpya na kutuma hii post. Lakini dhamira yangu ilisema hapana. Nikawa tayari kwa yanayojitokeza. Kuhusu umri, nikiri hata ile 39 si kweli. Nilikadiria aina ya marafiki nonaopenda, nikaweka umri huo. Atakayekuja inbox atajua umri wangu, ataamuwa.Wamekufuma mkuu kuhusiana na umri wako,Mkuu hivi kwa jinsi unavyoona wewe na umri wako huo unadhani ni nini kimepelekea ukawa single kwa muda mrefu?
Siyo kama wamenifuma mkuu. Mimi ni mwanachama wa sikunyingi Jf. Haya yote nilijua yatatokea tu. Ningeweza ku-regist ID mpya na kutuma hii post. Lakini dhamira yangu ilisema hapana. Nikawa tayari kwa yanayojitokeza. Kuhusu umri, nikiri hata ile 39 si kweli. Nilikadiria aina ya marafiki nonaopenda, nikaweka umri huo. Atakayekuja inbox atajua umri wangu, ataamuwa.