See The most expensive Car in the World USD 19 Million and the person Who own it

Wote wawili mmechemka. Mleta mada hakueleza top speed ya hilo gari kuwa eti ni 250kph au 250mph. Alichoeleza ndicho hasa alichomaanisha yaani 250 meters per hour. Mlichomiss ni kale kasentensi "higher than any fastest car". Kwa maana kuwa nenda utafute gari ulilolofahamu kabla kuwa lina toppest speed basi linazidiwa ma hii bugatti kwa 250 meters per hour. Mupo
Hivi 250meters per hour, Hauwezi kuwa serious boss. sasa si litakuwa linashindana na kobe😆
 
Nyie watu hata kama hamjui kingereza vizuri au labda hamuwezi kutumia akili basi fungueni macho myatumie vizuri. Nimeeleza vizuri kuwa hiyo speed ya 250 meters per hour ni comparative, sio absolute. Inajulikana kuwa kwa absolute speed hata mtoto anayejifunza kutembea ataipita hiyo spidi ya 250 meters per hour. Sasa fungueni macho muelewe vizuri nyinyi wenye macho lakini msioona.
Nimesema hii spidi ya mleta mada ni 250 meters per hour FASTER THAN ANY OTHER CAR. Any other car maana yake ni gari lolote lingine dogo. Kwa hiyo kama kuna gari dogo lenye spidi kubwa labda ya 200km per hr, hii bugatti inakimbia spidi 200.25kph kwa sababu 250 meters per hour ni sawa na 0.25kph. Niendelee. Kama kuna gari lenye 300kph hii bugatti inakimbia 300.25kph. Kwa lugha nyingine chukua gari unalolifahamu lenye spidi kubwa kuliko zote duniani, hiyo spidi yake ongeza na 250 meters per hr au 0.25kph ndio unapata spidi ya hiyo bugatti.
Hiyo spidi ya 250kph mnayoshupalia ni kaspidi ka benz tu tena used, sio kubwa kihivyo.
Vipi hapo bado hamjaelewa?
 
Dah we kweli ...ulichoelezea sio kilichoandikwa.
"It can reach a speed of 250 meters per hour,faster than any car can reach."

Ingekuwa inamaanisha kama ulivyosema hapo wasingeweka comma baada ya neno hour.(kama unazijua punctuation marks)

In swahili
Ina uwezo wa kufika speed ya 250meter kwa saa,hiyo speed hamna gari linaweza kuizidi.
 
The world’s most expensive plate was sold to Saeed Abdul Ghafour Khouri, from UAE. The number plate "1", cost him $14.3 million.

NB;huyo jamaa ametumia hela hiyo yote kununua gari, mwenzake mwarabu hajali na gari, hela zake kanunua lisence plate. Je anatumia gari gani? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom