See the Country where women carry guns everywhere they go

Mr What

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
1,177
2,085
01047ba8adf749e77b1ed10268dd06af
A look spy into the ancient lands of Israel will show an undeniable fact that the Isrealis are breeds from a race that once conquered kingdoms and subdued nations.

One intriguing fact about Israel is not just that the have some of the most beautiful women in the world, but that Isreali women are always walking around with an M-16 rifle, this women love guns, so much they go everywhere with it, just like as women from other parts of the world are addicted to always carrying phones or make-up kits, Israel women don't joke with their guns.

240cb8d15ee8177d20511540aaaf1096
At present, a person must be at least 21 years of age and in good health to apply for a permit. Other conditions include residence in a West Bank settlement, a border area or an area near the separation barrier. This is due to the incessant attacks by the nearby Palestinians carrying out terrorist attacks against the Isreali citizens like in time past when a Palestinian terrorist would drive into Israel for suicide bombings, or attacks unarmed innocent people with matchets, or battle axes or guns.

0452f6bf2665e18ffb449d1974e0a307

a70a4af2f4916f1862fb129f1a004e00
Qualified citizens carrying firearms in public contribute to the sense of security, are an important line of defense from ‘lone-wolf’ attacks and thus strengthen public security,” Erdan said.(Minister Of Israeli Public Security).

9f404f8d9ad91e76a3fea530e06bcbd4

3b75e312cc0b3b28c5a99667db8185cb
It's also worthy of note that those Palestinians where actually named so by the Romans their biblical name are Philistines, an age long battle that has refused to subside, yet one side keep winning while the other country is a wreck.

Nevetheless the way Israeli woman took the gun licensing law serious would keep one asking are they really for enemies or for Boyfriends or Husbands that would mess-up (just thinking though).

The Government of Israel have however made it easy for the people of the country to carryout self-defence aganist terrorist or an enemy invasion

Israel has one of the Most powerful military in the world.
 
Dah! Umenikumbusha mbali mwaka 2004 nikiwa nafanyakazi kituo cha Watoto wenye Mahitaji maalum...
 
dah hapa upatikanaji was papuchi unakuwa mgumu
Wala isikutishe... Jinsi unavyofikiria utaipataje hiyo nanihii ndiyo wanavyo fikiria watakupaje hiyo nanihii kwani hawawi na "kiu" unafikiri??
 
Wanajua kuzitumia au wanabeba kama fashooni
Hawana raha maskini, yaani hawa jamaa wanapatatabu tokea wamkatae yesu mpaka dunia itaisha daadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninavojua they are in active military. Na sio kwamba ni lazima wabebe silaha muda wote. Kuna mawili either urudishe silaha kwenye armory wakati unaondoka kwenye base siku ya ijumaa au utembee nayo popote weekend. Sasa foleni ya kuzirudisha hiyo siku zinakuwa ndefu sana hivo wengi kuamua kuzibeba weekend yote wakiwa nje ya base.

Cc. Proved, T14 Armata
 
Sijui kwa nini nikiwa na njaa inakua ngumu kuelewa ngeli......At least kuna picha nimeelewa bila kusoma
 
Otherwise mniambie ni Photoshop....Yaani mtu ana beba silaha kama mkoba.
 
Dada hakuna nchi duniani inakua na foleni katika kurudisha silaha amara maana kila kikosi kina vitu vinaitwa coy na kila coy au kombania ina amara zake, na kwa siku kikosi kisima wanaoingia zamu hawawezi kufika mia so hiyo foleni sijui ya namna gani hadi watembee na silaha mtaani.
Ninavojua they are in active military. Na sio kwamba ni lazima wabebe silaha muda wote. Kuna mawili either urudishe silaha kwenye armory wakati unaondoka kwenye base siku ya ijumaa au utembee nayo popote weekend. Sasa foleni ya kuzirudisha hiyo siku zinakuwa ndefu sana hivo wengi kuamua kuzibeba weekend yote wakiwa nje ya base.

Cc. Proved, T14 Armata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada hakuna nchi duniani inakua na foleni katika kurudisha silaha amara maana kila kikosi kina vitu vinaitwa coy na kila coy au kombania ina amara zake, na kwa siku kikosi kisima wanaoingia zamu hawawezi kufika mia so hiyo foleni sijui ya namna gani hadi watembee na silaha mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila nilichokiandika sijabahatisha.
Kutembea na silaha sio lazima , unaweza kuziacha kwenye base ila foleni inakuwa kubwa na inakuwa na paperwork za kutosha na kusubiri kwingi ili kukabidhisha.

Niliwahi kuongea na wadada ambao waliserve IDF for 24 months nadhani ni sheria ya huko kupita jeshini (sina uhakika), na ndio walionithibitishia hilo.
 
Back
Top Bottom