See beautiful pictures of Black and White Couples (Racism is bad)

Sio kweli Kuna jamaa yangu mmoja kaoa mjerumani tena kisu na mwingine kaoa Mholanzi naje kisu na Wana pesa wote Ila washkaji choka mbaya mmoja alikuwa polisi tu na mwingine alikuwa ndio kamaliza chuo back dhen 2009 wote watoto wa mbagala..
Hakuna wanawake wanapenda pesa kama wanawake weupe, na yeyote unaemuona ameoa ngozi nyeupe na hana hela ujue ameoa reject. Kama ni mzungu ni mnene hana soko mgonjwa, kama mchina mfupi sana na kibonge, kama mwarabu taahira wanakupa na kama Muhindi basi ukoo wa ovyo
 
Ndio tunalosema wao kuoa haijalishi katoka wapi, ila sisi kama huna hela utaoa reject. Kuchukua kula unakula tu ila ndoa kuzaa
Mbona baba yake obama alioa kwenye familia Tajiri huku yeye akiwa mwanafunzi tu,Mapenzi upofu mkuu.

Watu wanaoana haijalishi tajiru au masikini,sema tu mazingira ya kuwakutanisha pamoja watoto wa matajiri wakike na wanaume kajambanani ndo shughuli.Hata hapa hapa Afrika ni vigumu kutoka familia masikini kuoa mtoto wa tajiri sababu ya mazingira ya watu kukutana ni tofauti kabisa.
 
Bba yake Obama halisi anajulikana ni Frank Marshall Davis, huyu Mkenya walimbebesha kuepusha aibu kwasababu Davis alikuwa anakula mama na mtoto
 
Tunazungumzia "Ubaguzi wa rangi" sio pesa,... Umeshawahi kuishi nchi gani ya watu Weupe halafu ukaona kama wanajali utajiri wako??? Usi Generalise issue zetu za kupenda hela ukaona na Dunia nzima iko hivyo....
Hehee
 
Namba 20
Namba 19 na namba 15

Hao mamanzi wana sura nzuri kama peponi
 
Hapo ndipo ninapo wakubaligi wazungu hawa watu sio wabaguzi kama wengi tunavyodhani sema kuna wabaguzi wachache kama ambavyo sisi wa Africa tunavyobaguana sisi kwa sisi. Wabaguzi wapo bara la Asia huko hata kuoana na mtu mweusi wa ni dhambi, yaani wamejaa chuki dhidi ya mtu mweusi na hubagua mtu mweusi kila sehemu hadi makazini.
 
Hata huku kwetu ni ngumu masikini kuoa familia ya tajiri, au asie na elimu kuoa familia ya wasomi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom