Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Habari wapendwa. Hope mko salama kabisa.
Nahitaji kufunga security cameras ofisini kwangu. Naombeni mnishauri zinapatikana wapi? Aina gani ni nzuri na bei yake. Nahitaji camera 3 moja iwe night vision.
Nawasilisha.