Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,440
- 113,449
- Thread starter
- #341
Mkuu Daudjuma , yes tuko huru, Tanzania tulipata uhuru wetu tarehe 9 Dec, 1961, mpaka leo tuko huruP,unajulikana kama kada mtiigu wa ccm,na mgombea uliyetia nia na kutupiliwa mbali kwa tabia zako za kujipendekeza,Nijibu swali hili ili baadae nichangie hoja yako?
3.HIVI NI KWELI TUKO HURU?
Narud badae
Jtatu njema,nitarudi
Kama ni mambo ya uhuru wa mambo mengine yote pia tuko huru na mifano ni hii
Je, Tanzania tuna Media Freedom kubwa kuliko UK na US? Tushuhudie kitachompata Julian Assange wa WikiLeaks! Tujifunze kwake
Wanabodi, Yule Mwandishi Julian Asange wa WikiLeaks, ametiwa nguvuni nchini Uingereza kwa kutakiwa na Marekani, sasa sisi Tanzania, tujifunze kwa kitachompata, tukitumie kama shamba darasa la kujifanyia tathmini ya Press Freedom yetu, usikute sisi tuna press freedom kubwa kuliko UK na US, zaidi...
www.jamiiforums.com
Tanzania tuna uhuru mkubwa wa habari na uhuru wa kujieleza, Serikali ina nia njema kusajili na Kudhibiti-Dr. Hassan Abbas afafanua live on Chan.10
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Baragumu ambacho kiko live on Channel Ten, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Dr. Hassan Abbas, afafanua mambo mbalimbali ya Habari Tanzania, amesema Tanzania Tuna Uhuru Mkubwa wa Habari na Uhuru mkubwa wa Kujieleza, ila pia amefafanua usajili wa mitandao ya...
www.jamiiforums.com
P