Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,090
Safi sana.Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu majadiliano mema hapo kesho.
- Japo Blaza, anasemekana he left by natural causes, ila kwenye vita vya kimaslahi, wabeberu wanaweza kufanya lolote!, hivyo pia anaweza kuwa emeleftishwa kwasababu za kiuchumi!.
- Kuna uwezekano baada ya kumleftisha, wanahakikisha, wanajipenyeza kisawasawa!.
- Unaweza kukuta Mwarabu wa Dubai ni front tuu lakini nyuma yake yuko kubwa la mabeberu, Marekani!.
- Waheshimiwa wabunge wetu kesho wanajadili mkataba huu. Nawaomba watangulize maslahi ya taifa mbele!.
- Baada ya kumpa Mwarabu wa Dubai kutuendeshea Bandari yetu ya Dar es Salaam, jee mpango wa Bandari ya Bagamoyo bado upo?.
P
Kwa wasioelewa ni kuwa Marekani, Israel, UAE, Saudia, Uingereza ni washrika wa pamoja kwenye mambo mengi sana.
CIA wana mkono kwenye kampuni nyingi sana, ili kuficha trace zao unaweza kudhani hizo ni kampuni za waarabu kumbe ni front companies zao.
Lengo ni kutumia kampuni hizo kucounter influence ya mchina na kujihakikishia hegemony ya rasilimali kwa miaka mingine 100 ijayo!