Secrets of Swiss Banking - Kitabu

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kuna watu walinifahamisha wangependa kupata kitabu ama dondoo juu ya kitu hiki. Huenda ukawa mwanzo wa wengi kujua kwa undani nini hasa chanzo cha watu kuweka ngawira katika taifa hili...

As a tip: Kuna 'mafia' kadhaa toka Tanzania wamelimbiliza fedha nyingi huku. Ni zaidi ya EPA. Kuna siku itafumuka tu, Mungu anipe uhai!

CONTENTS:
Chapter 1: Challenges and Threats
Chapter 2: Switzerland-Alpine Financial Oasis
Chapter 3: Where to Begin: Opening a Swiss Bank Account
Chapter 4: Investing through Your Swiss Bank
Chapter 5: Banking Policies and Regulations
Chapter 6: The Ultimate Investment Plan
Chapter 7: Alpine Retreat for Business and Pleasure
Chapter 8: The Best Alternatives to Switzerland
 
Attachments

  • Secrets_of_Swiss_Banking.zip
    969.4 KB · Views: 1,443
Kuna watu walinifahamisha wangependa kupata kitabu ama dondoo juu ya kitu hiki. Huenda ukawa mwanzo wa wengi kujua kwa undani nini hasa chanzo cha watu kuweka ngawira katika taifa hili...

As a tip: Kuna 'mafia' kadhaa toka Tanzania wamelimbiliza fedha nyingi huku. Ni zaidi ya EPA. Kuna siku itafumuka tu, Mungu anipe uhai!

CONTENTS:
Chapter 1: Challenges and Threats
Chapter 2: Switzerland—Alpine Financial Oasis
Chapter 3: Where to Begin: Opening a Swiss Bank Account
Chapter 4: Investing through Your Swiss Bank
Chapter 5: Banking Policies and Regulations
Chapter 6: The Ultimate Investment Plan
Chapter 7: Alpine Retreat for Business and Pleasure
Chapter 8: The Best Alternatives to Switzerland
JAMANI sisi mafisadi wa Tanzania, Kenya, uganda na Afrika sasa tutaficha wapi fedha zetu wakati Marekani imeilazimisha Uswizi kufichua tunavyokwepa kodi na jinsi tunavyopokea rushwa toka majuu???

MAJIBU KUTOKA VISIWA VYA MARASHI YA KARAFUU:

Basi Zanzibar tunaanzisha Switzeland ya Afrika. Karibuni.

Hureee, yebo yebo yebo kindaki ndaniki mwanangu mambo bado kama kawa...!
 
Yeah!!! Tanzania may excel in this area, probably it might be the only area we may be good at, lets grap it!!!
 
Kuna watu walinifahamisha wangependa kupata kitabu ama dondoo juu ya kitu hiki. Huenda ukawa mwanzo wa wengi kujua kwa undani nini hasa chanzo cha watu kuweka ngawira katika taifa hili...

As a tip: Kuna 'mafia' kadhaa toka Tanzania wamelimbiliza fedha nyingi huku. Ni zaidi ya EPA. Kuna siku itafumuka tu, Mungu anipe uhai!

CONTENTS:
Chapter 1: Challenges and Threats
Chapter 2: Switzerland-Alpine Financial Oasis
Chapter 3: Where to Begin: Opening a Swiss Bank Account
Chapter 4: Investing through Your Swiss Bank
Chapter 5: Banking Policies and Regulations
Chapter 6: The Ultimate Investment Plan
Chapter 7: Alpine Retreat for Business and Pleasure
Chapter 8: The Best Alternatives to Switzerland

Utabiri wako umetimia 2012 tangu ulipoturushia May 2008. Utakuwa unazo hots nyingi za Taifa hili kwenye archive yako.
 
Salute!

Quotes-A-Day-copy-Break-The-Silence.jpg
 
Nyuzi kama hii ndipo nnapopata fursa ya kumsifu Kikwete, kabla Invisible hajatuwekea humu hiki kitabu, Kikwete kaanza kulifanyia kazi zamani sana na nivyema mpaka leo (2008) elimu imewafikia kina Invisible na wanaanza kuwatanabahisha na wengine, ingawa Invisible yupo miaka miwili nuyma lakini hii ni kazi ya kuendelea na nampongeza kwa kuiunga mkono kwa kutowa elimu kama hii aliyotuwekea.

Kikwete hii kazi aliianza na kuifanya kwa kubadilisha sheria humu ndani ya nchi zinazohusiana na utoroshaji wa fedha na rushwa, hakuishia hapo akakazania sana kuhusu sheria ya Umoja wa Mataifa itakaruhusu fedha zilizopo nje ya Afrika za Waafrika ziwekwe wazi na kurudishwa ikigundulika hazijapatikana kihalali, hata juzi juzi alilisemea sana alipokuwa Arusha kwenye mkutano wa majaji wa jumuiya madola.

Alilitilia mkazo pia walipokutana na wakuu wa kuzuia rushwa afrika mashariki.

Sasa japo tunaona manufaa ya kazi yake, angalau tunajuwa ziko ngapi hapo Uswisi tu na bado zipo nje kwingine kwingi na nyingi tu nna uhakika Kikwete haziachi hizo, kama alivyorudisha fedha za rada na hizi zitarudi tu.

Hapo ndipo nnapompendea Kikwete, nyie semeni yeye anafanya.

Kuwakumbusha tu kuwa kazi hii kaianza zamani na leo mna matunda yake nimewawekea links tofauti hapa chini mjikumbushe:

http://www.google.com/url?sa=t&rct=j...vFP36w&cad=rja

Kenya: Kikwete calls for uniform tax system in East Africa

Zimefichuka » Blog Archive » KIKWETE'S CAMPAIGN AGAINST CORRUPTION PROMISING

Kikwete on money laundering and corruption - Google Search[+Arusha
 
RaiaMwema wameileza vizuri leo ile ya Rada. Mtemi Chenge sasa ni Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Bunge. Sheria ile rushwa ya enzi za Mwalimu isingechakachuliwa na akina Chenge huyu baba angekuwa Segerea sio Bungeni.
 
Nyuzi kama hii ndipo nnapopata fursa ya kumsifu Kikwete, kabla Invisible hajatuwekea humu hiki kitabu, Kikwete kaanza kulifanyia kazi zamani sana na nivyema mpaka leo elimu imewafikia kina Invisible na wanaanza kuwatanabahisha na wengine, ingawa Invisible yupo miaka sita nyma lakini hii ni kazi ya kuendelea na nampongeza kwa kuiunga mkono kwa kutowa elimu kama hii aliyotuwekea.

Kikwete hii kazi aliianza na kuifanya kwa kubadilisha sheria humu ndani ya nchi zinazohusiana na utoroshaji wa fedha na rushwa, hakuishia hapo akakazania sana kuhusu sheria ya Umoja wa Mataifa itakaruhusu fedha zilizopo nje ya Afrika za Waafrika ziwekwe wazi na kurudishwa ikigundulika hazijapatikana kihalali, hata juzi juzi alilisemea sana alipokuwa Arusha kwenye mkutano wa majaji wa jumuiya madola.

Alilitilia mkazo pia walipokutana na wakuu wa kuzuia rushwa afrika mashariki.

Sasa japo tunaona manufaa ya kazi yake, angalau tunajuwa ziko ngapi hapo Uswisi tu na bado zipo nje kwingine nyingi tu na Kikwete haziachi hizo, kama alivyorudisha fedha za rada na hizi zitarudi tu.

Hapo ndipo nnapompendea Kikwete, nyie semeni yeye anafanya.

Kuwakumbusha tu kuwa kazi hii kaianza zamani na leo mna matunda yake nimewawekea links tofauti hapa chini mjikumbushe:

http://www.google.com/url?sa=t&rct=j...vFP36w&cad=rja

Kenya: Kikwete calls for uniform tax system in East Africa

Zimefichuka » Blog Archive » KIKWETE'S CAMPAIGN AGAINST CORRUPTION PROMISING

Kikwete on money laundering and corruption - Google Search[+Arusha
Zomba bana unanifurahisha sana
 
Zomba,
Kikwete kayafanyia kazi kinafiki sana haya. Asingeteua watu kama Lowasa, Chenge kuwa kwenye Cabinet yake huku akijua wazi hawa jamaa kwa money laundering hawana mbadala nchi hii.
 
duuu hapa kazi ipo nchi hii itaendelea ccm wakitoka madarakani bila hivyo ni ndoto!
 
Nyuzi kama hii ndipo nnapopata fursa ya kumsifu Kikwete, kabla Invisible hajatuwekea humu hiki kitabu, Kikwete kaanza kulifanyia kazi zamani sana na nivyema mpaka leo (2008) elimu imewafikia kina Invisible na wanaanza kuwatanabahisha na wengine, ingawa Invisible yupo miaka miwili nuyma lakini hii ni kazi ya kuendelea na nampongeza kwa kuiunga mkono kwa kutowa elimu kama hii aliyotuwekea. Hapo ndipo nnapompendea Kikwete, nyie semeni yeye anafanya. Kuwakumbusha tu kuwa kazi hii kaianza zamani na leo mna matunda yake nimewawekea links tofauti hapa chini mjikumbushe: http://www.google.com/url?sa=t&rct=j...vFP36w&cad=rja Kenya: Kikwete calls for uniform tax system in East Africa Zimefichuka » Blog Archive » KIKWETE'S CAMPAIGN AGAINST CORRUPTION PROMISING Kikwete on money laundering and corruption - Google Search[+Arusha
zomba Mkuu, nadhani umeona baadhi ya title za hizo nyuzi bila ya kujisumbua kuzisoma, na kama ulisoma, niambie unajisifia nini katika maelezo yaliyopo hapa chini?:
1. (C) SUMMARY. After one year in office, President Kikwete has yet to match his strong anti-corruption rhetoric with concrete results. There are promising signs on the legislative front: Parliament approved a new Anti-Money Laundering bill last fall and the Anti-Corruption Bill is slated to move to the cabinet and then Parliament in early 2007. But the Government of Tanzania (GOT) has still not prosecuted a high-level corruption case in either the public or private sector and Tanzania's Transparency International rating of 2.9 has remained stagnant since 2004. More troubling, Tanzania's new PCB director, Edward Hosea, told us it remains an unspoken rule that bringing charges against the President or, significantly, the Prime Minister (whose name frequently arises in connection with alleged corruption) remains off the table in Tanzania. Hosea also told us that he remains unconvinced of Kikwete,s commitment to bringing senior government figures to justice, and that the litmus test of the President's sincerity would be PCB's first referral of a senior official to court for indictment. Hosea said he was aware that his new appointment meant he had many
enemies, and that he felt at personal risk. End Summary. Sourece:​
Zimefichuka » Blog Archive » KIKWETE'S CAMPAIGN AGAINST CORRUPTION PROMISING
zomba Mkuu, kwa maelezo yako na maneno ya Kikwete, ni kuwa Rais wetu angalau kwa hili la wizi wa mali za umma, anasema asichokifanya na kufanya asichokisema. Kama ingekuwa kinyume chake, kwa nini igunduliwe na nchi za nje kuwa kuna mijizi inavusha pesa kupeleka Uswisi? Hakuchukii mtu kumpenda Kikwete kwani mapenzi kipofu.
 
zomba,

Sina neno na utendaji wa JK, napenda kuendelea kumsihi asiweke uswahiba wa aina yoyote katika kuwashughulikia wahujumu uchumi hawa.

He's nothing to lose, zaidi atatengeneza legacy yake kwa kuwashughulikia watu hawa.

Mwizi hana chama, si mtu wa kumchekea hata chembe... Ndo wanaosababisha wananchi (bila kujali itikadi zao za kisiasa/kidini) waishi maisha ya kubahatisha.

Nikuombe, fanya uwezavyo (kama utaweza) kuhakikisha unamfahamisha kuwa wananchi wangependa kuona hatua za haraka zinachukuliwa kwa wale watakaobainika kuhusika.

Hata hivyo, naelewa sheria zetu zinavyochelewesha maamuzi! Inafurahisha kuwa walau Jeshini kuna hatua zimeanza kuchukukiwa...
zomba, am well informed juu ya alichofanya majuzi ndugu Shimbo, nipende kusema kuwa kwenye 'hili' la majuzi alilofanya huko China ni la kizalendo na karibuni wananchi watamwona kuwa ni 'hero'. Muhimu, ajiweke kando na wanasiasa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom