Secrets of Swiss Banking - Kitabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Secrets of Swiss Banking - Kitabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, May 6, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  May 6, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Kuna watu walinifahamisha wangependa kupata kitabu ama dondoo juu ya kitu hiki. Huenda ukawa mwanzo wa wengi kujua kwa undani nini hasa chanzo cha watu kuweka ngawira katika taifa hili...

  As a tip: Kuna 'mafia' kadhaa toka Tanzania wamelimbiliza fedha nyingi huku. Ni zaidi ya EPA. Kuna siku itafumuka tu, Mungu anipe uhai!


  CONTENTS:
  Chapter 1: Challenges and Threats
  Chapter 2: Switzerland-Alpine Financial Oasis
  Chapter 3: Where to Begin: Opening a Swiss Bank Account
  Chapter 4: Investing through Your Swiss Bank
  Chapter 5: Banking Policies and Regulations
  Chapter 6: The Ultimate Investment Plan
  Chapter 7: Alpine Retreat for Business and Pleasure
  Chapter 8: The Best Alternatives to Switzerland
   

  Attached Files:

 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Thanks Invisible!!!!!!!
   
 3. a

  akili Member

  #3
  Mar 18, 2009
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMANI sisi mafisadi wa Tanzania, Kenya, uganda na Afrika sasa tutaficha wapi fedha zetu wakati Marekani imeilazimisha Uswizi kufichua tunavyokwepa kodi na jinsi tunavyopokea rushwa toka majuu???

  MAJIBU KUTOKA VISIWA VYA MARASHI YA KARAFUU:

  Basi Zanzibar tunaanzisha Switzeland ya Afrika. Karibuni.

  Hureee, yebo yebo yebo kindaki ndaniki mwanangu mambo bado kama kawa...!
   
 4. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Yeah!!! Tanzania may excel in this area, probably it might be the only area we may be good at, lets grap it!!!
   
 5. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ifichuliwe fedha za mafisadi maana itasaidi nchi za Afrika zikirudishwa.
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  invisible ni kiona mbali!
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Utabiri wako umetimia 2012 tangu ulipoturushia May 2008. Utakuwa unazo hots nyingi za Taifa hili kwenye archive yako.
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kasheshe
   
 9. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Hii ndo JF..!
   
 10. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Sio uhai pekee mkuu,tunakuombea nia thabiti na afya njema..!
   
 11. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  daaaaa invisible ntafute nkupe bia za bure leo
   
 12. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Salute!

  Quotes-A-Day-copy-Break-The-Silence.jpg
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nyuzi kama hii ndipo nnapopata fursa ya kumsifu Kikwete, kabla Invisible hajatuwekea humu hiki kitabu, Kikwete kaanza kulifanyia kazi zamani sana na nivyema mpaka leo (2008) elimu imewafikia kina Invisible na wanaanza kuwatanabahisha na wengine, ingawa Invisible yupo miaka miwili nuyma lakini hii ni kazi ya kuendelea na nampongeza kwa kuiunga mkono kwa kutowa elimu kama hii aliyotuwekea.

  Kikwete hii kazi aliianza na kuifanya kwa kubadilisha sheria humu ndani ya nchi zinazohusiana na utoroshaji wa fedha na rushwa, hakuishia hapo akakazania sana kuhusu sheria ya Umoja wa Mataifa itakaruhusu fedha zilizopo nje ya Afrika za Waafrika ziwekwe wazi na kurudishwa ikigundulika hazijapatikana kihalali, hata juzi juzi alilisemea sana alipokuwa Arusha kwenye mkutano wa majaji wa jumuiya madola.

  Alilitilia mkazo pia walipokutana na wakuu wa kuzuia rushwa afrika mashariki.

  Sasa japo tunaona manufaa ya kazi yake, angalau tunajuwa ziko ngapi hapo Uswisi tu na bado zipo nje kwingine kwingi na nyingi tu nna uhakika Kikwete haziachi hizo, kama alivyorudisha fedha za rada na hizi zitarudi tu.

  Hapo ndipo nnapompendea Kikwete, nyie semeni yeye anafanya.

  Kuwakumbusha tu kuwa kazi hii kaianza zamani na leo mna matunda yake nimewawekea links tofauti hapa chini mjikumbushe:

  http://www.google.com/url?sa=t&rct=j...vFP36w&cad=rja

  Kenya: Kikwete calls for uniform tax system in East Africa

  Zimefichuka » Blog Archive » KIKWETE'S CAMPAIGN AGAINST CORRUPTION PROMISING

  Kikwete on money laundering and corruption - Google Search[+Arusha
   
 14. W

  WildCard JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  RaiaMwema wameileza vizuri leo ile ya Rada. Mtemi Chenge sasa ni Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Bunge. Sheria ile rushwa ya enzi za Mwalimu isingechakachuliwa na akina Chenge huyu baba angekuwa Segerea sio Bungeni.
   
 15. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Zomba bana unanifurahisha sana
   
 16. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapa kweli uliona mbali!.
   
 17. W

  WildCard JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Zomba,
  Kikwete kayafanyia kazi kinafiki sana haya. Asingeteua watu kama Lowasa, Chenge kuwa kwenye Cabinet yake huku akijua wazi hawa jamaa kwa money laundering hawana mbadala nchi hii.
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duuu hapa kazi ipo nchi hii itaendelea ccm wakitoka madarakani bila hivyo ni ndoto!
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  zomba Mkuu, nadhani umeona baadhi ya title za hizo nyuzi bila ya kujisumbua kuzisoma, na kama ulisoma, niambie unajisifia nini katika maelezo yaliyopo hapa chini?:
  zomba Mkuu, kwa maelezo yako na maneno ya Kikwete, ni kuwa Rais wetu angalau kwa hili la wizi wa mali za umma, anasema asichokifanya na kufanya asichokisema. Kama ingekuwa kinyume chake, kwa nini igunduliwe na nchi za nje kuwa kuna mijizi inavusha pesa kupeleka Uswisi? Hakuchukii mtu kumpenda Kikwete kwani mapenzi kipofu.
   
 20. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  zomba,

  Sina neno na utendaji wa JK, napenda kuendelea kumsihi asiweke uswahiba wa aina yoyote katika kuwashughulikia wahujumu uchumi hawa.

  He's nothing to lose, zaidi atatengeneza legacy yake kwa kuwashughulikia watu hawa.

  Mwizi hana chama, si mtu wa kumchekea hata chembe... Ndo wanaosababisha wananchi (bila kujali itikadi zao za kisiasa/kidini) waishi maisha ya kubahatisha.

  Nikuombe, fanya uwezavyo (kama utaweza) kuhakikisha unamfahamisha kuwa wananchi wangependa kuona hatua za haraka zinachukuliwa kwa wale watakaobainika kuhusika.

  Hata hivyo, naelewa sheria zetu zinavyochelewesha maamuzi! Inafurahisha kuwa walau Jeshini kuna hatua zimeanza kuchukukiwa...
  zomba, am well informed juu ya alichofanya majuzi ndugu Shimbo, nipende kusema kuwa kwenye 'hili' la majuzi alilofanya huko China ni la kizalendo na karibuni wananchi watamwona kuwa ni 'hero'. Muhimu, ajiweke kando na wanasiasa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...