Secretary urgently needed.

Sasa tutaajiriwa wapi kumbe sikukosea kubadili kada hii ya ukatibu muhtasi ingeniendesha mbio kama kigezo ni uzuri
Afadhali ulibadilisha halaf unajua uzur wa fani nyingine unaanzia chini na kadri uzoefu unavyoongezeka unapanda cheo hadi unakuwa meneja au mkurugenzi.
Lakini Cha ajabu kazi ya usecretary miaka nenda rudi hadi unazeeka bado unaitwa secretary tu yaani uko pale pale.
 
Hahahahahahhahaha
 
Jaman hamsomi tangazo vizur mnafanya vile ambavyo hamjaagizwa
*Nmesema no calls watu mnachukua
number mnapiga
*tuma picha watu wantuma unesecssary details wakisubiri uanze kuwaelezea kile kilichoandikwa kwenye tangazo.
*females only wakaka sijui mnatafuta nn huku.
*mdada unatuma picha na snapfilters sijui nkueleweje wew.
*others mnachukua number kuulizia kweli nnataka secretary
*mtu anauliza full body picture ndio nn sijui
Nikujibu nn kwa kweli dada angu
With all hectic kwa wale ambao mnasubiri kujibiwa after sending visivyoeleweka ntakua na mda huo kweli!?
N.b nsipokujibu jua your not qualified
Plus soma maelezo vizuri kabla hujafika kweny inbox yangu.
 
I realised wengi hampo professional unaweza ukawa na vigezo but the language unayotumia matters a lot.
Kufuata maelezo ndio kila kitu.
Wengi hampo serious picha na snapfilters
Naona mnahitaji brush kidogo jinsi yakuomba kazi.
 
Normal and professional nothing else.
So in a group of thousands people you lack only one guy?May be a rocket science expert can be a hard search but not a secretary,that employer must have a problem somewhere.
You can think some people have problems but the problem may be you sometimes.
 
Noted
Well only if you were experiencing what i am experiencing now, probably you couldn't have the guts to talk like this.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom