Secretary urgently needed.

M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,343
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,343 2,000
Sasa tutaajiriwa wapi kumbe sikukosea kubadili kada hii ya ukatibu muhtasi ingeniendesha mbio kama kigezo ni uzuri
Afadhali ulibadilisha halaf unajua uzur wa fani nyingine unaanzia chini na kadri uzoefu unavyoongezeka unapanda cheo hadi unakuwa meneja au mkurugenzi.
Lakini Cha ajabu kazi ya usecretary miaka nenda rudi hadi unazeeka bado unaitwa secretary tu yaani uko pale pale.
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,252
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,252 2,000
Aaah nani kasema bwana, umewaona wafanyakazi wa NMB? Ila wakaka naonaga wanavutia kweli sijui ndio ile wanasemaga wanawake tunapenda wanaume wenye uniforms?
ha ha ha ha
 
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
10,500
Points
2,000
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
10,500 2,000
Afadhali ulibadilisha halaf unajua uzur wa fani nyingine unaanzia chini na kadri uzoefu unavyoongezeka unapanda cheo hadi unakuwa meneja au mkurugenzi.
Lakini Cha ajabu kazi ya usecretary miaka nenda rudi hadi unazeeka bado unaitwa secretary tu yaani uko pale pale.
Hahahahahahhahaha
 
Godfirst

Godfirst

Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
77
Points
125
Godfirst

Godfirst

Member
Joined Dec 7, 2017
77 125
Jaman hamsomi tangazo vizur mnafanya vile ambavyo hamjaagizwa
*Nmesema no calls watu mnachukua
number mnapiga
*tuma picha watu wantuma unesecssary details wakisubiri uanze kuwaelezea kile kilichoandikwa kwenye tangazo.
*females only wakaka sijui mnatafuta nn huku.
*mdada unatuma picha na snapfilters sijui nkueleweje wew.
*others mnachukua number kuulizia kweli nnataka secretary
*mtu anauliza full body picture ndio nn sijui
Nikujibu nn kwa kweli dada angu
With all hectic kwa wale ambao mnasubiri kujibiwa after sending visivyoeleweka ntakua na mda huo kweli!?
N.b nsipokujibu jua your not qualified
Plus soma maelezo vizuri kabla hujafika kweny inbox yangu.
 
Godfirst

Godfirst

Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
77
Points
125
Godfirst

Godfirst

Member
Joined Dec 7, 2017
77 125
I realised wengi hampo professional unaweza ukawa na vigezo but the language unayotumia matters a lot.
Kufuata maelezo ndio kila kitu.
Wengi hampo serious picha na snapfilters
Naona mnahitaji brush kidogo jinsi yakuomba kazi.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,343
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,343 2,000
Kwa hyo ktk watu wote walioomba hujampata hata mmoja mwenye vigezo unavyohitaji?
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,343
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,343 2,000
Unfortunately bado.
Ila hata hiyo kazi inanitia mashaka.
What is special with that job?
Is it a normal secretarial job that we know or something else?
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,343
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,343 2,000
Normal and professional nothing else.
So in a group of thousands people you lack only one guy?May be a rocket science expert can be a hard search but not a secretary,that employer must have a problem somewhere.
You can think some people have problems but the problem may be you sometimes.
 
Elly255

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Messages
461
Points
500
Elly255

Elly255

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2017
461 500
Mkuu mbona una roho ngumu Sana, laki mbili kweli ?? Dooh!
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,343
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,343 2,000
Mkuu mbona una roho ngumu Sana, laki mbili kweli ?? Dooh!
Hata Mimi nashangaa aisee.
Masharti yote hayo yaliyotolewa eti kwa mshahara wa laki 2.
Halaf ndani ya siku 3 anawachuja tu na kusema hakuna mwenye vigezo.
 
Godfirst

Godfirst

Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
77
Points
125
Godfirst

Godfirst

Member
Joined Dec 7, 2017
77 125
So in a group of thousands people you lack only one guy?May be a rocket science expert can be a hard search but not a secretary,that employer must have a problem somewhere.
You can think some people have problems but the problem may be you sometimes.
Noted
Well only if you were experiencing what i am experiencing now, probably you couldn't have the guts to talk like this.
 

Forum statistics

Threads 1,315,685
Members 505,292
Posts 31,866,785
Top