Secretary anaomba mahali pa field jamani.

Mgjd

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
531
95
Kulingana na title hapo juu.,a charming Young energetic girl is hereby seeking for a place where she can practise her college knowledge on SECRETARY FIELD OF WORK stage 1and 2 with a good short hand speed. Please if any of You knows where she can find such s place please HELP.
 
ukishindwa kupata niambie kuna mtu atakusaidia kupata field kwanza inatakiwa lini? sehemu gani? kwa mda gani? jielezi vizuri coz jf ni zaidi ya msaada
 
ukishindwa kupata niambie kuna mtu atakusaidia kupata field kwanza inatakiwa lini? sehemu gani? kwa mda gani? jielezi vizuri coz jf ni zaidi ya msaada

Itakapoanza January,na ni Dar na kwa muda wa mwezi mmoja.
 
Wizarani anaweza fanya kazi...? Kama yuko tayari ani pm sharti akubali kutoa rushwa ya ngono kwangu kama yyuko tayari ani pm kama hayuko asijisumbue kuni pm mwache azunguke mpaka soli zilike
 
Wizarani anaweza fanya kazi...? Kama yuko tayari ani pm sharti akubali kutoa rushwa ya ngono kwangu kama yyuko tayari ani pm kama hayuko asijisumbue kuni pm mwache azunguke mpaka soli zilike

Bila shaka umelaaniwa wewe pamoja na uzao wako. Hivi huna dada wewe? Vipi mtu akimfanyia hivyo unavyotaka kufanya kwa wengine? Its not Right to Use your Manly for such stupidity.
 
C.T.U jaribu kujiheshimu, jf kuna watu wa kila kada, tofautisha facebook na kwingineko.
 
Back
Top Bottom