Secretariet ya maadili ya Uongozi ichunguze Viongozi wa Vyuo wanaojilimbikizia mali

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Leo Rais Kikwete ameagiza Secretariet ya Maadili iangalie pia viongozi wa umma wanaotumia nafasi zao kujilimbikizia mali. Viongozi wa Vyuo vya Elimu ya juu na vyuo vya kawaida wanatumia nafasi hizo kujilimbikizia mali.Maagizo ya Rais iwafikie hawa wote ili kuokoa uvujaji wa rasilimali za vyuo. Natoa hoja.
 
Baadhi ya vyuo ajira ni utata mtupu, viwango vya mishahara havina kanuni, katibu muhtasi anaweza lipwa mashahara zaidi ya mhadhiri.Vyuo vingine vinaendeshwa kisiasa badala ya kitaaluma. WanaJF tupeni data kuhusu haya.
 
Naunga mkono hoja. Pa pa pa pa (nagonga meza)! Tena kaka ni kweli maana hao ndo wamejibweteka na kuona taasisi ni kama za kwao sasa naomba tumulike hayo hebu naomba anuani ya hiyo tume ya maadili niwalengeshe jamaa fulani hivi
 
Anuani hiyo hapo chini lengesha fasta.
Meneja Mradi,
Mfuko wa Uadilifu,Uwajibikaji na Uwazi,
Ofisi ya Rais,
Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma,
S.L.P. 13341, Dar es Salaam.
Simu: 022 – 2111810/11
Fax: 022 -2119217
Barua pepe: secretariat@ethics.go.tz
 
Ofisi za Kanda:
Ofisi ya Rais,
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Dar es Salaam, na Ofisi za kanda za
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kama ifuatavyo:-
1. Kanda ya Kaskazini, Jengo la
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
Arusha, Mtaa wa Makongoro,
S.L.P. 3174, Simu – 027 –
2544534,
ARUSHA.
2. Kanda ya nyanda za juu
kusini,
Jengo la Wakala wa Majengo,
Mtaa wa Sabasaba – Mbeya,
S.L.P. 6311, Simu – 025 –
2502714
MBEYA.
3. Kanda ya Kati,
Jengo la Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii,(N.S.SF) Dododma,Mtaa
wa Askari,
S.L.P. 1887, Sim:026-2321059
DODOMA.
4. Kanda ya Ziwa,
Jengo la NSSF
S.L.P 1473,
MWANZA.
5. Kanda ya Kusini,
Jengo la Mkuu wa Mkoa –
Mtwara,
S.L.P 218, Simu: 023 -
2333962,
Fax: 023 – 2333963,
MTWARA.
6. Kanda ya Magharibi,
Jengo la Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii
(N.S.SF) Tabora, Mtaa wa
Jamhuri,
S.L.P. 1126, Simu: 026 -
2605323,
TABORA.
 
Mbona hajaliongelea la mwanae Riz ikiwa ana utajiri unawazidi watz wa muda mrefu kibiashara nk?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom