4 shizzle mannizle......huwa nafanya hivyo lakini naishia kuzimua mpaka jioni yake.......kuna mtu aliniambia niwe napiga nyagi..tatizo la nyagi kila nikinywa inaleta mengine....Kama umepiga sana mtungi,usiku ukirudi home oga maji ya baridi kabla ya kulala,hii inaweza kusaidia uamke vizuri,Kama asubuhi bado utajihisi una mning'inio kula ndizi ama apple kisha kunywa maji mengi ya baridi(mara nyingi mi hufanya hivi na hunisaidia sana),mning'inio utaondoka kabisa.Kama njia hii itashindikana cha kufanya ni kwenda baa ya jirani kisha zimua kwa bia 1 au 2 mning'inio utatoweka kabisaaaa
4 shizzle mannizle......huwa nafanya hivyo lakini naishia kuzimua mpaka jioni yake.......kuna mtu aliniambia niwe napiga nyagi..tatizo la nyagi kila nikinywa inaleta mengine....
Nikiacha nitaanza kuugawa umaskini kwa kasi ya ajabu.......
Nikiacha nitaanza kuugawa umaskini kwa kasi ya ajabu.......
sidhani kama kuna expensive liquor........uzuri mie nanywea uswazi na mapombe nisioyajua ya wazungu siyannywi unaweza vunjiwa yai bure....pombe inanywea na mahomeless moscow nitaiweza wapi wapi na joto la town hapa....Kunywa kistaarabu basi, the easiest way to do that is drinking expensive liquor
Kugawana umaskini maana yake ni ile hali ya kusaidiana baina ya watu wawili wa jinsia tofauti(ke&me),i.e kumsaidia mwenzio kile anachokosa...YoYo hope nipo sahihi mpwaEti nini maana ya kugawa umaskini,nausikia sana huu msemo na siuelewi.
Pia jitahidi kupunguza unywaji ili usiamke na hangover next day.
JF doktaz naomba msaada wenu wa dawa gani ya kutuliza hangover AKA mning'inio.
Yeah,hii nayo inasaidia sana,hasa ukinywa asubuhi mning'inio wote unatowekakunywa jagi la mziwa ya ngome yaliyokuwa hayaja changanywa na maji kabla ya kwenda kulala baada ya kumaliza pombe zako .
Hapo lazima urudishe chenji/uzomee ardhiMnazungushana hapa nyonya K na tiGo haste haste hakuna mning'inio waziada belive me !
ukiamkia key yategema umekunywa nini.....kama ni bia kwenye push up angalia sana unaweza kuzomea na ukichanganya na supu ya makongoro uliokunywa....Mnazungushana hapa nyonya K na tiGo haste haste hakuna mning'inio waziada belive me !