Secret relationship

Diana Fares

Member
Oct 12, 2012
54
8
Samahan wan Jf naomba mnisaidie kwan hv ni sahih kuwa kwenye mahusiano ya mapenz na mtu halafu ikawa siri.? Marafk wacjue wala watu wa karb.. Hapa kuna mapnz ya kwel jaman??
 
Hapo unatakiwa kusoma alama za nyakati. Huyo atakuwa anaona wewe si wa type yake na hivyo kwake ni aibu watu kujua uko nae, au anauhusiano na mtu mwingine ambaye anamthamini kuliko wewe hivyo anahofia kumkosa endapo itajulikana yupo nawe. He wants to use you, refuse you and then abuse you. take care.
 
kiu kweli ni mapenzi kwa uaminifu na usaliti yamekaa ila mapenzi ya cri yanafaida sana kama urahisi wa kumsoma mpenzi wako kwa undani tofauti uwazi ambapo watu wataogopa kuwaingilia so msome mpenzi wako na mjipange ili mje kushangaza
 
Vigezo na Masharti kuzingatiwa...

Mmeishakubaliana terms and condition mapenzi ni ya siri halafu wewe badala ya kukataa hizo terms unaenda kulalamika pembeni. Acha uswahili, heshimu makubaliano au chapa lapa
 
Uvumiliv na cku1 tuje tuish wote..lkn kwa style hii mmh naogopa sana..7bu mm nampenda kwel nahtaj future na yeye
 
ikiwa ni makubaliano yenu, poa, lakini hapo ni kulana tu hakuna future!
 
Back
Top Bottom