ndugu zangu angalie profile zenu muangalie ktk kipengele cha selection result ni kama matokeo tayari kwani mie nimeandikiwa 'SORRY,YOU ARE NOT SELECTED' nimemuuliza rafiki yangu Arusha kaniambia kuwa yeye ameishatumiwa matokeo yake kwa njia ya EMAIL na ameishapata chuo sasa sijui wengine lini au sisi tena tusubili 3rd application?