Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

*Hatimae Arap Moi amekufa kweli baada ya kusingiziwa kufa Mara Kibao*

Pumzika kwa Amani Mzee. Ukumbuke hakuwahi kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, Moi alioa na kupata watoto nafikiri wanne au watatu, vijana akiwemo Gideon Senator wa Baringo, Marehemu Jonathan na kijana mwingine pia.
Kumbuka walitalikiana na mkewe zamani akiwa bado makamu wa rais.
 
Mungu ampumzishe mahali pema mzee Moi,early 90's mwanzoni nakua nakumbuka kuzisikiliza sana hotuba zake kupitia KBC hii ilitokana na sehemu nilipokuwa kwa wakati ule masafa ya radio za nyumbani Tanzania kutokusikika vyema.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
*Hatimae Arap Moi amekufa kweli baada ya kusingiziwa kufa Mara Kibao*

Pumzika kwa Amani Mzee. Ukumbuke hakuwahi kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
............So hakuwa na uzao mkuu?..

Aliowa,mkewe kashatangulia nae na walifanikiwa kuzaa watoto sita,kwa mujibu wa Google

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Itakua ulikua pande za Rombo mkuu,hahah.
Mungu ampumzishe mahali pema mzee Moi,early 90's mwanzoni nakua nakumbuka kuzisikiliza sana hotuba zake kupitia KBC hii ilitokana na sehemu nilipokuwa kwa wakati ule masafa ya radio za nyumbani Tanzania kutokusikika vyema.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

dodge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom