Second hand phones na refurbished phones

Takumi

Member
May 10, 2020
36
125
Naombeni mnifafanulie refurbished na second hand phones zinakuwaje hizo simu na ipi simu bora kati ya samsung mpya ya hapa nyumbani na used kutoka nje ya nchi S Korea
 
Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,895
2,000
Second hand maana imetumika na imeuzwa kwa mara nyingine tena na refurbished inaweza uzwa kwa mara ya pili au zaidi ikawa imeangukia kwenye second hand pia.
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,046
2,000
Naombeni mnifafanulie refurbished na second hand phones zinakuwaje hizo simu na ipi simu bora kati ya samsung mpya ya hapa nyumbani na used kutoka nje ya nchi S Korea
Second hand inamaanisha simu imetoka kwenye mikono ya mtu na kuuzwa hvyo hvyo. Refurbished ni second hand ambazo zinakua repaired kurudi katika hali ya upya. Kma kubadilisha housing, kioo kma kimepasuka kinabadilishwa, kma ilikua na tatzo lolote inatengenezwa
 
Takumi

Member
May 10, 2020
36
125
Second hand maana imetumika na imeuzwa kwa mara nyingine tena na refurbished inaweza uzwa kwa mara ya pili au zaidi ikawa imeangukia kwenye second hand pia.
Second hand inamaanisha simu imetoka kwenye mikono ya mtu na kuuzwa hvyo hvyo. Refurbished ni second hand ambazo zinakua repaired kurudi katika hali ya upya. Kma kubadilisha housing, kioo kma kimepasuka kinabadilishwa, kma ilikua na tatzo lolote inatengenezwa
Refurbished ni kwamba iliingia sokoni halafu ikarudishwa kiwandani kuongezewa thamani
Ninunue ipi kati ya usee kutoka nje (mtumba) na mpya hapa bongo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom