Second born Wengi sio watoto wa ndani ya ndoa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,550
44,700
Mtoto wa kwanza uhakika Ni wa kwako kwa sababu penzi bado jipya una muda wa kumbembeleza mke asitoke nje poa utamzalisha mwanao.Sasa mtoto wa pili tofauti itaanza mke Ana uwezekano mkubwa kuchepuka akaleta mtoto ambaye Ni lomoni.

Tukirudi kwa mtoto wa tatu chance ya kuwa wa kwako Ni asilimia kubwa kwa hiyo kifupi Ni kwamba usiogope ukitaka kuitwa baba fulani Ni Jambo zuri Ila tambua kabisa ma mix mengi yamepita hapo Ila usiogope kungongewa Ni Siri ya ndani.
 
Doh mkuu ushawahi kuona mifano halisi ama ni mawazo yako tu? Wewe ni mtoto wa ngapi? Mkeo ana mtoto wa pili unayemhisi si wako?
 
Unakuta hata wewe aliyekulea sio baba ako.

Tujifunze kutotafuta dhambi za wazazi wetu tupambane na zetu.
 
Back
Top Bottom