Sebo: Ningekuwa ruge, ningemwomba radhi jaydee

AFRIKA KWETU

Member
May 21, 2013
29
8
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike ktk tuzo za KTMA, ni ishara ya mwanadada huyo kukubalika ktk jamii. Mtangazaji huyo amesema kwamba Jaydee ni mwanamke mwenye uthubutu ktk harakati za kuyasaka maisha na kwamba yeyote mwenye nia ya kukwamisha jitihada zake aibu na iwe juu yake. Ameongeza kuwa kukubalika kwa mwanadada huyu pia kulidhihirika pale ambapo watazamaji ktk tukio hilo walipomshinikiza Meneja wa msanii huyo (Gadna) kutaja kiingilio na tarehe ya maadhimisho ya miaka 13 ya Jaydee ktk uga wa muziki. Hivyo, Sebo anaona ni vyema Ruge akajishusha na kumaliza tofauti zake dhidi ya Jaydee.
 
Ndio maana nikasema

Inazidi kuwa interesting, let's wait and see

anaropoka ropoka hajui kabisa
watu anao deal nao
zamani alipokuwa under ipp alikuwa safe
now yupo Kampuni ambayo sio powerful that much
bora asingejihusha na haya
 
sebo umesema kweli lakini unaweza kuambiwa kibali cha kuishi nchini kimekwisha.
 
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.

Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.
 
Ni kweli, ukimsema ruge unakua umemsema miraji kikwete na ukimsema miraji kikwete unakua umemsema kikwete. ndo maana unaona kila mwaka clouds media wanamfanyia birthday rais kikwete tena bure na matangazo yanaonyeshwa live kama asante kwa kuwaunga mkono hasa kuwagaiwa studio ambayo kikwete alitoa kama ahadi zake za uchaguzi. mia
 
Sebo ahakikishe vibali vyote vya kuishi nchini viko safi
unless otherwise .............
Nakuheshimu that why nakujibu hivi, sebo yupo vizuri sana kitaaluma. Utangazaji kwake not big deal. Kipindi cha nyuma alikuwa Imma Advocate. Bila shaka mpaka sasa.
Kwa hiyo inchi yeyote anao uwezo wa kufanya mambo yake tofauti na our funcking country.
 
anaropoka ropoka hajui kabisa
watu anao deal nao
zamani alipokuwa under ipp alikuwa safe
now yupo Kampuni ambayo sio powerful that much
bora asingejihusha na haya

kama Ruge anaamini ananguvu saana amguse huyu kijana ndo ataijua nguvu ya umma maana yake ni nini!
 
Nakuheshimu that why nakujibu hivi, sebo yupo vizuri sana kitaaluma. Utangazaji kwake not big deal. Kipindi cha nyuma alikuwa Imma Advocate. Bila shaka mpaka sasa.
Kwa hiyo inchi yeyote anao uwezo wa kufanya mambo yake tofauti na our funcking country.

Actually kama umeielewa sijamponda
i simply said awe makini..thats all
sijasema kuwa hayupo vizuri kitaaluma
 
Back
Top Bottom