Season 2 ya wizara ya nishati na madini....!

Maengo

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
280
29
Ndugu wana JF nimepata tetesi kutoka kwa mtu aliye karibu na wizara ya nishati na madini kuwa ile 'tamthilia' ya akina 'JAH HERO' itaendelea kama ifuatavyo;
Vasco da Gamma ana mpango kuwabadilsha Ngeleja na Malima(haieleweki kama anawapiga chin au anawapeleka wizara nyingine), halafu Jah Hero naye atastaafu! Na hayo yote yatafanyika kabla ya Novemba 2011, ili bunge likikaa Novemba lisiwe na cha kuongea kuhusu ripoti itakayokuwa imeletwa na ile tume iliyoundwa kuchunguza kashfa ya Jah Hero!

Hebu tufuatilie pamoja tuone hii season 2 itakuwaje baada ya hii kwanza ambayo Luhanjo alishirikishwa vizuri na akafiti sehemu ile!
 
Dah! ama kweli nchi hii sasa imeoza, kwa jitihada zao wabunge waligundua tatizo, wakuu wakapindisha ukweli baada ya wabunge kuja juu wanataka kuliDISSOLVE kwa mtindo wa kuchange kota. Nawaomba wabunge walisimamie kidete suala hili ili huyo JAH HERO ashitakiwe mana kama kidhibiti kipo mbona wanateteana kiasi hicho?. aaaaaaaaaaaaaaah!
 
Watabebana mwisho watapakana kinyesi wote watanuka, puuuuuuuuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom