Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 807
- 1,393
Habari za sasa hivi waungwana.
Nimekuja kwenu kuomba connection ya kazi zinazohusiana na ujenzi kiujumla.
Educational background:-
Ni graduate engineer katika fani ya uhandisi ujenzi.
Nina bachelor's degree ya civil engineering.
Pia nina diploma ya civil engineering
Pia nimesajiliwa na bodi ya wahandisi kama graduate engineer.
Uzoefu wangu ni field katika sekta ya ujenzi kuanzia diploma hadi nilipokuwa katika ngazi ya shahada ya kwanza.
Nimekuja kwenu kuomba connection ya kazi au seap au hata intenship ya kulipwa.
Kwa sasa nipo Arusha .
Nimefuatilia maswala ya seap sehemu tatu zote bila ya mafanikio yoyote sasa ni mwezi wa pili.
Kwa yoyote mwenye connection kwa hapa Arusha (itafaa zaidi) niko tayar kufanya kazi kwa bidii na ufanisi mkubwa.
Kama maelezo hayajajitosheleza kujielezea tutajuzana zaidi.
Ahsanteni.