Seap program/ paid internship/job opportunity

Moment of silent

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
805
1,390
Habari za sasa hivi waungwana.

Nimekuja kwenu kuomba connection ya kazi zinazohusiana na ujenzi kiujumla.
Educational background:-

Ni graduate engineer katika fani ya uhandisi ujenzi.

Nina bachelor's degree ya civil engineering.

Pia nina diploma ya civil engineering

Pia nimesajiliwa na bodi ya wahandisi kama graduate engineer.

Uzoefu wangu ni field katika sekta ya ujenzi kuanzia diploma hadi nilipokuwa katika ngazi ya shahada ya kwanza.

Nimekuja kwenu kuomba connection ya kazi au seap au hata intenship ya kulipwa.
Kwa sasa nipo Arusha .
Nimefuatilia maswala ya seap sehemu tatu zote bila ya mafanikio yoyote sasa ni mwezi wa pili.
Kwa yoyote mwenye connection kwa hapa Arusha (itafaa zaidi) niko tayar kufanya kazi kwa bidii na ufanisi mkubwa.
Kama maelezo hayajajitosheleza kujielezea tutajuzana zaidi.

Ahsanteni.
 
Brother, be serious. Kuna posts kibao zinatafuta Engineering disciplines waajiriwe. Do your research.

Here's an example: Civil ENgineer at TARURA - Simiyu

Pia kuna CEng firms kibao Arusha kipindi hichi wanatoaga Field na Internship. Be faithful kutafuta and God will bless your efforts.

Kila la heri Mkuu Moment of Silence.
 
Mkuu tangazo hilo la kazi za TARURA ya simiyu-bariadi nimeliona na wanataka nafasi moja tu ya civil engineer tena awe professional engineer( mhandisi mbobezi) ukizingatia mie bado ni graduate engineer.

Mkuu sio rahisi kama hivyo unavyodhani hiyo sehemu ya kujitolea au kufanya seap kama huna mtu sio rahisi kuipata.

Nime attend seminar ya ERB mwezi may mwaka huu DSM na wakatupendekeza tujaze form kwa kupendekeza sehemu ambazo tunaweza kufanya seap ili watuandike barua kwa ajili ya kutoombea sehemu hizo tulizopendekeza kwa kuwa barua yao ni yenye nguvu.
Cha kusikitisha barua waliniandikia sehemu tatu, zote nilifanikiwa kutuma barua kwa email na baadae nilipeleka kwa mkono mpaka ofisini kwao , nikawa naskilizia baada kuona kimya nikawa kiguu na njia mpaka ofisini kwa ajili ya kufuatilia majibu niliyopewa nikaambiwa kama nafasi itakuwepo nitapigiwa simu saa hv ndio inaelekea elekea mwezi wa tatu kimyaa!!

So mkuu nipo sirias kabisa kama kuna kampuni hapa Arusha nikonect nayo ata ikiwa ni intenship, maana saa hv mambo ni connection zaidi.
Mambo yakitiki tutaongea mkuu maana nimehangaika hadi soli za viatu vyangu vimelika 😂😂

Civil engineering imekuwa changamoto zaidi siku hz hususan kwa sisi tusio na connection!!
Mutha007
 
Mkuu tangazo hilo la kazi za TARURA ya simiyu-bariadi nimeliona na wanataka nafasi moja tu ya civil engineer tena awe professional engineer( mhandisi mbobezi) ukizingatia mie bado ni graduate engineer.

This is true Mkuu. Ila as a Graduate Eng, I think ni bora utume maombi personally kutafuta Internship (prioritize over looking for a job) hoping the experience will get you work hapo mbeleni maana utakuwa ushafikia vigezo vya kusajiliwa.

I would suggest ufanye kwa CEng Firms na Contractors hasa wa lower classes 4 mpaka 7 ila sasa hawa wengi wao ofisi zao zipo Dar es Salaam. Kama unahitaji sana kubaki Chuga, tafuta intern per project rather than per firm.
There's a lot of Construction opportunities na ongoing PJs Mkuu, surely huwezi kosa walau moja ukiwa na bidii.

By the way, kuna jamaa humu ndani alikuwa anatafuta Engineer kwa muda kama mwezi hivi. I believe number yake ni:
[Name] Abdul
[Mobile] +255 625 249 605
 
Asnt sana brother kwa ushauri wako.
Nitajaribu kuicheki hiyo namba na pia nitarajaribu kuingia Katika website ya CRB( Contractors Registration Board) kucheki list ya makampuni ya wakandarasi yaliyopo kwa hapa Arusha nahisi kule wameweka contact info zao.
Kwa upande wa consultant firm nikwel zipo chache sana huku sidhan kama zinazidi zaidi ya tano japo kuwa hamu yangu kufanya kazi katika consultant firm, nilihangaikia kwa kusambaza cv kama sehemu tatu hivi bila ya kuzaa matunda yoyote.
Ila ishu ikiwa ya uhakika isio na ubabaishaji mie nipo tayar kupiga kazi popote sio lazma chuga.

Wacha niufanyie kazi ushauri wako na niongeze jitihada zaidi ya kutafuta mchongo, naamini Mungu atafanya wepesi.
Shukran sana

Habar mkuu......samahan kw Usufu
Nilikuwa naomb msaada wako japo unishauri kdogo....
Kwa kifupi Mimi naishi mkoa wa Arusha.nimehitimu diploma ya Civil engineering na nimetafuta pahala pakufanya internship lakini Hadi sasa sijafanikiwa , Hata hivyo nimezunguka kwenye kampuni ili kuomba nafasi Nako bila mafanikio nmekosa nafasi Hadi sasa sijui namefeli wapi.....
Please naomb unipe muongozo
 
Omba kuvolunter tu kwanza kuna kampuni nyingi hapo arusha zina miradi mikubwa ukienda kwa gia ya kuvolunter ni rahc kukubalia andaa vyeti, CV n.k
Kubali msoto kwanza hata usipolipwa chochote kwanza ila in the long run kuna kitu una target

Kaz za engineering zinahitaji ufahamike na connection mnoo so njia pekee ya kufahamika ni ww kwenda site. Humo humo ukiwa site mafundi watakupa connection kwa mabosi wengi wanapopata dili za setting out, n.k na pia unajifunza field ki practical zaidi.

Nilivyomaliza chuo km ww nilivolunter miezi karibu 6 ila nilikuwa sikosi senti nikienda site nauli na mahitaji madogo madogo hayanipigi chenga but nikaja kupata mchongo nikiwa pale pale site. Site engineer alinipa connection na kampuni flani ya nje nikala Shavu la maana ila baada ya kula msoto wa miez karibia 6 kutolipwa chochote na muajiri

Note. Kazi zinapatikana ukiwa kazini huwez pata kazi ukiwa nyumbani tafuta connection upenye kwny system ndo utapata mchongo ukiwa huko
 
Hii nzuri sana kaka.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru sana chief tatizo graduate wengi hawajui you have to be streat smart kupenya mtaani
Huko chuo wanapograduate things are different na kwa mtaa. Lazima ukija mtaani ukubali kupigika kwanza weka degree yako mfukoni kwa mda kuwa loyal na humble kama mjinga flani

Baada ya mda utatoboa tu. Hii kanuni ya mtaa
 
Mkuu ni changamoto gani ulizokuwa unapitia wakati unapush mishe zako hasa ukiwa unaenda kusambaza CV.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ni changamoto gani ulizokuwa unapitia wakati unapush mishe zako hasa ukiwa unaenda kusambaza CV.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Chief sita sahau nimeprint sehemu mbalimbali ili ni save hela maana nina lipa kodi na sina kipato cha maana. Na mm sio omba omba siwezagi kumuomba mtu hata senti wtk mwngine unaenda kupeleka barua sehemu umetoka kutembea umbali wa kutosha mpk kufika hapo alafu sekritari anakuambia nafasi hakuna mm nilikuwa nagombana nao mnoo mpk nikatumia strategy ya kuenda direct kwa wakurugenzi nikifka ofsn namuambia sekretari mm nina agenda ya muhimu sana na bosi na ni ishu personal lkn wap bado nilikuwa natolewa nje.

Ilifikia kipnd nikaenda kuomba kaz viwandani nalipwa kutwa ya elfu 8 msomi mzima ila nilijisemea mm ni mwanaume nimeumbwa kupambana sitachagua kazi.
Nimepiga mishe nyingi mno ambazo si za level yngu lakina kwa sbb sina mahali pakuomba hela na ninajitegemea ili nibidi nipambane ili maisha yaende.
 
never give up mkuu, nakumbuka nilishawai kuingia kwenye office kwa gia ya kumjua mkurugenzi jamaa alishtuka sana akijua naweza nikawa spy.

Daaah njaa hizi!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
never give up mkuu, nakumbuka nilishawai kuingia kwenye office kwa gia ya kumjua mkurugenzi jamaa alishtuka sana akijua naweza nikawa spy.

Daaah njaa hizi!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hahaaa kwny haya maisha confidence ni silaha kubwa sana.
Kuna kazi niliapply inahitajika mtu awe na uzoefu na udereva. Nilizama kwny interview oral nikapita

Nikaulizwa leseni unayo nikasema ndio ( kumbe nilikuwa sijawahi endesha gar maisha yangu yote)baada ya kuona tarehe nayotakiwa kufanya interview ya driving ni kama ndani ya siku 4 kutoka ile siku.
Nilienda kwny vyuo vya driving nikamuona jamaa mmoja nikamuambia " oya nimepata mchogo sijui hata kuwasha gar nahitaji nijue ndani ya siku 2 ili niende kwny interview". Jamaa alinifundisha kwa juhudi mno baada ya kumuelezea kuhusu hustle zangu.

Baada ya siku ya 4 nikatimba ndani ya interview kufumba kufumbua nakakabithiwa canter wakat nimejifunzia Corolla kimchongo mchongo.
Niliingiwa na uwoga kidogo nikimbie ila nikajisemea moyoni I have come a long way nije nikate tamaa hapa overall I have got nothing to lose.

To make a long story shot nilipigwa chini kwakua sina uzoefu na
udereva lkn ile confidence iliniongezea kitu kikubwa sana kwny maisha yangu mpk leo nikipita kwny ofisi za watu natamka mambo kwa mamlaka na confidence ya ajabu mpk watu wanasema jamaa ni tis nn mbona anajiamini hivyo
 
mkuu umetisha sana.

Nimecheka kama fala😂😂😂😂
Ila confidence ni silaha muhimu aisee popote pale!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom