Seap program/ paid internship/job opportunity

Moment of silent

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
277
250
Habari za sasa hivi waungwana.

Nimekuja kwenu kuomba connection ya kazi zinazohusiana na ujenzi kiujumla.
Educational background:-

Ni graduate engineer katika fani ya uhandisi ujenzi.

Nina bachelor's degree ya civil engineering.

Pia nina diploma ya civil engineering

Pia nimesajiliwa na bodi ya wahandisi kama graduate engineer.

Uzoefu wangu ni field katika sekta ya ujenzi kuanzia diploma hadi nilipokuwa katika ngazi ya shahada ya kwanza.

Nimekuja kwenu kuomba connection ya kazi au seap au hata intenship ya kulipwa.
Kwa sasa nipo Arusha .
Nimefuatilia maswala ya seap sehemu tatu zote bila ya mafanikio yoyote sasa ni mwezi wa pili.
Kwa yoyote mwenye connection kwa hapa Arusha (itafaa zaidi) niko tayar kufanya kazi kwa bidii na ufanisi mkubwa.
Kama maelezo hayajajitosheleza kujielezea tutajuzana zaidi.

Ahsanteni.
 
Mutha007

Senior Member
May 27, 2018
163
500
Brother, be serious. Kuna posts kibao zinatafuta Engineering disciplines waajiriwe. Do your research.

Here's an example: Civil ENgineer at TARURA - Simiyu

Pia kuna CEng firms kibao Arusha kipindi hichi wanatoaga Field na Internship. Be faithful kutafuta and God will bless your efforts.

Kila la heri Mkuu Moment of Silence.
 
Moment of silent

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
277
250
Brother, be serious. Kuna posts kibao zinatafuta Engineering disciplines waajiriwe. Do your research.

Here's an example: Civil ENgineer at TARURA - Simiyu

Pia kuna CEng firms kibao Arusha kipindi hichi wanatoaga Field na Internship. Be faithful kutafuta and God will bless your efforts.

Kila la heri Mkuu Moment of Silence.
Mkuu tangazo hilo la kazi za TARURA ya simiyu-bariadi nimeliona na wanataka nafasi moja tu ya civil engineer tena awe professional engineer( mhandisi mbobezi) ukizingatia mie bado ni graduate engineer.

Mkuu sio rahisi kama hivyo unavyodhani hiyo sehemu ya kujitolea au kufanya seap kama huna mtu sio rahisi kuipata.

Nime attend seminar ya ERB mwezi may mwaka huu DSM na wakatupendekeza tujaze form kwa kupendekeza sehemu ambazo tunaweza kufanya seap ili watuandike barua kwa ajili ya kutoombea sehemu hizo tulizopendekeza kwa kuwa barua yao ni yenye nguvu.
Cha kusikitisha barua waliniandikia sehemu tatu, zote nilifanikiwa kutuma barua kwa email na baadae nilipeleka kwa mkono mpaka ofisini kwao , nikawa naskilizia baada kuona kimya nikawa kiguu na njia mpaka ofisini kwa ajili ya kufuatilia majibu niliyopewa nikaambiwa kama nafasi itakuwepo nitapigiwa simu saa hv ndio inaelekea elekea mwezi wa tatu kimyaa!!

So mkuu nipo sirias kabisa kama kuna kampuni hapa Arusha nikonect nayo ata ikiwa ni intenship, maana saa hv mambo ni connection zaidi.
Mambo yakitiki tutaongea mkuu maana nimehangaika hadi soli za viatu vyangu vimelika 😂😂

Civil engineering imekuwa changamoto zaidi siku hz hususan kwa sisi tusio na connection!!
Mutha007
 
Mutha007

Senior Member
May 27, 2018
163
500
Mkuu tangazo hilo la kazi za TARURA ya simiyu-bariadi nimeliona na wanataka nafasi moja tu ya civil engineer tena awe professional engineer( mhandisi mbobezi) ukizingatia mie bado ni graduate engineer.

This is true Mkuu. Ila as a Graduate Eng, I think ni bora utume maombi personally kutafuta Internship (prioritize over looking for a job) hoping the experience will get you work hapo mbeleni maana utakuwa ushafikia vigezo vya kusajiliwa.

I would suggest ufanye kwa CEng Firms na Contractors hasa wa lower classes 4 mpaka 7 ila sasa hawa wengi wao ofisi zao zipo Dar es Salaam. Kama unahitaji sana kubaki Chuga, tafuta intern per project rather than per firm.
There's a lot of Construction opportunities na ongoing PJs Mkuu, surely huwezi kosa walau moja ukiwa na bidii.

By the way, kuna jamaa humu ndani alikuwa anatafuta Engineer kwa muda kama mwezi hivi. I believe number yake ni:
[Name] Abdul
[Mobile] +255 625 249 605
 
Asnt sana brother kwa ushauri wako.
Nitajaribu kuicheki hiyo namba na pia nitarajaribu kuingia Katika website ya CRB( Contractors Registration Board) kucheki list ya makampuni ya wakandarasi yaliyopo kwa hapa Arusha nahisi kule wameweka contact info zao.
Kwa upande wa consultant firm nikwel zipo chache sana huku sidhan kama zinazidi zaidi ya tano japo kuwa hamu yangu kufanya kazi katika consultant firm, nilihangaikia kwa kusambaza cv kama sehemu tatu hivi bila ya kuzaa matunda yoyote.
Ila ishu ikiwa ya uhakika isio na ubabaishaji mie nipo tayar kupiga kazi popote sio lazma chuga.

Wacha niufanyie kazi ushauri wako na niongeze jitihada zaidi ya kutafuta mchongo, naamini Mungu atafanya wepesi.
Shukran sana
Mutha007
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom