Ewaa,uko sahihi shekhe,mie mmasai lakini nimekulia kwenye ukanda huu wa pwani,jioni shurti upitie kwenye meza za pweza na ngisi na sea food nyengine ndo siku inakuwa imeenda vizuri.Mkuu utakuwa umekulia pwani
Kambakochi ndio lobsterSea foods; kamba kochi, lobster, ngisi, changu, tasi, kolekole, mlimba.....kuna mmoja nimesahau jina, ni kama mwenzie mlimba kwenye supu aiseee......iwe supu ya kienyeji, pita SOMANGA pale ufaidi hiyo supu
Oooh, asante kwa kunifahamisha. Prawns kwa kikwetu hiki ndio wanaitwaje?Kambakochi ndio lobster
Ni dagaa kamba kama sijakoseaOooh, asante kwa kunifahamisha. Prawns kwa kikwetu hiki ndio wanaitwaje?
Hao ni chazaMiye nikipata Tasi nimemaliza Maneno,
Kule Mtwara kuna konokono flani hivi cku nikashawishiwa ninunue watamu ukiwakaanga loohh wana sukari sukari walinishinda.
seafood is life: napenda kila kitu kuanzia dagaa, changu, pweza, ngisi, sheell fish etc, etcMi sea food sikubali kabisa,labda za majani ila sio hawa wadudu!
Shrimps and prawns have a lot in common.Those are shrimps and not prawns.