Sea food gani unaipenda?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mi sea food sikubali kabisa,labda za majani ila sio hawa wadudu!
 
Miye nikipata Tasi nimemaliza Maneno,
Kule Mtwara kuna konokono flani hivi cku nikashawishiwa ninunue watamu ukiwakaanga loohh wana sukari sukari walinishinda.
 
King prawns ndio chaguo langu
09730f5e7dc910ed9976c5464193961f.jpg
 
Miye nikipata Tasi nimemaliza Maneno,
Kule Mtwara kuna konokono flani hivi cku nikashawishiwa ninunue watamu ukiwakaanga loohh wana sukari sukari walinishinda.
Pweza tuko pamoja
 
Sea foods; kamba kochi, lobster, ngisi, changu, tasi, kolekole, mlimba.....kuna mmoja nimesahau jina, ni kama mwenzie mlimba kwenye supu aiseee......iwe supu ya kienyeji, pita SOMANGA pale ufaidi hiyo supu
 
Prawns wadogo,calamari na wengine wanakujaga tu mixer kwny platter sijui majina,i love them with sour vegetable salad
 
Back
Top Bottom