Scripting language Help!

Hadoop

Member
Oct 28, 2011
88
15
1. Develop build and installation script.
2.Prepare Build Script Unit Test Cases and perform Build Script Unit Test.
3. Deploy verified packages to the target environment

Wandugu, kazi hiyo, naomba ushauri kwa wenye experience ya
>> software testing
>> jinsi ya kutengeneza Build & Installation
Hizi language >>scripting language, e.g. Perl, Shell, Ant.<< naweza vipi kuzi master kwa muda mfupi?

Shukrani.

[/QUOSipendi nikueleze kisiasa,kumaster hizo lugha kwa muda mfupi utakuwa unajidanganya.Who is a master by definition?Master ni mtu ambaye ni expert katika field fulani au anajua kitu kwa undani zaidi.Sasa wewe unataka uwe nondo kwa muda mfunpi,sipendi kukudanganya.
Ninachoona hivyo vitu hapo ulivyoandika nahisi ni requirements ktk kazi fulani,if that is the case wewe kama huvijui anza kujifunza,fanya kiproject kidogo kitakachotumia hizo script language,ukija kwenye software testing ni field kubwa na kuna vitu vingi tunatest kwa mfano kama input type ni number ukijaza text software inarespond vipi?Software inafanya kazi kama inavyotakiwa kufanya?Software inafanya accounting,who logged when and did what?
Script ni program ambayo hutumika kufanya kitu fulani ambacho kinakuwa kinajirudia rudia badala ya kufanya kila muda,script inakuwa inacheck kama predifined condition imekuwa met then inafanya hiyo kazi husika.
Jifunze taratibu usiwe na haraka kama hiyo ni kazi just let it go,zitajitokeza zingine au kama ni mchongo na wanaweza kukuchukua just the way you are it's ok."It is better to be prepared and have no job than to have a job while you are not prepared."
Thanks
 
1. Develop build and installation script.
2.Prepare Build Script Unit Test Cases and perform Build Script Unit Test.
3. Deploy verified packages to the target environment

Wandugu, kazi hiyo, naomba ushauri kwa wenye experience ya
>> software testing
>> jinsi ya kutengeneza Build & Installation
Hizi language >>scripting language, e.g. Perl, Shell, Ant.<< naweza vipi kuzi master kwa muda mfupi?

Shukrani.

[/QUOSipendi nikueleze kisiasa,kumaster hizo lugha kwa muda mfupi utakuwa unajidanganya.Who is a master by definition?Master ni mtu ambaye ni expert katika field fulani au anajua kitu kw aundani zaidi.Sasa wewe unataka uwe nondo kwa muda mfunpi,sipendi kukudanganya.
Ninachoona hivyo vitu hapo ulivyoandika nahisi ni requirements ktk kazi fulani,if that is the case wewe kama huvijui anza kujifunza,fanya kiproject kidogo kitakachotumia hizo script language,ukija kwenye software testing ni field kubwa na kuna vitu vingi tunatest kwa mfano kama input type ni number ukijaza text software inarespond vipi?Software inafanya kazi kama inavyotakiwa kufanya?Software inafanya accounting,who logged when and did what?
Sript ni program ambyo hutumika kufanya kitu fulani ambacho kinakuwa kinajirudia rudia badala ya kufanya kila muda,script inakuwa inacheck kama predifined condition imekuwa met then inafanya hiyo kazi husika.

duuu hii fact ya mwisho ni hatari what if kama ni assignment kapewa..
 
Umesomeka General!
Wewe ni master wa software nn?
Tupe shule vijana.
 
Umesomeka General!
Wewe ni master wa software nn?
Tupe shule vijana.
Si master ila napenda kuelekea huko ,hasa kama unajua ni nini kinaendelea kwenye mambo ya technology na kazi za ki IT.Kama unapenda software mbona shule zipo nyingi online,hauhitaji hata kwenda darasani omly if unamsingi tayari say wa programming.Kwa mfano Perl ni language iko sokoni kitambo na ni strong,na php ilitokana na perl si unajua sikuhizi tunapenda vitu rahisi."If you can read you can learn anything".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom