screen ya laptop inahitajika haraka

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wadau natafuta kioo cha laptop yangu kimevunjika lcd lg 17''inch naomba sana kama mtu anacho au kioo chochote cha saizi hiyo

tuwasiliane

0713669533
 
Usiumize kichwa njoo cargo term 1(airport ya zamani)uliza mfanyakazi yoyote wa cargo atakupa dili kaka wacha kioo new laptop kwa bei nzuri...
 
Hawa wanazipata wapi hizi Laptops au kuna duka hapo Airport? Am I missing something here......!!

Mkuu hapo juu hii LG yako ni model gani?
 
Usiumize kichwa njoo cargo term 1(airport ya zamani)uliza mfanyakazi yoyote wa cargo atakupa dili kaka wacha kioo new laptop kwa bei nzuri...

mkuu naomba niku-PM, kuna ishu tuongee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom