Scott Storch's House In Forecolusre?

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
181
What happened to this kid...maana at one point especially baada ya kutengeneza Lean Back naona alianza kujisikia mpaka akaanza kubeef na kina Timbo!!!

SunTrust Bank moved earlier this month to foreclose on the $10 million Miami home of Scott Storch, according to Miami-Dade County records obtained by Page 2.1.

According to Jose Lambiet of The Palm Beach Post, Storch initially signed for two SunTrust mortgages worth a combined $7.75 million so he could buy a 10-bed, 16-bath mansion on Miami’s Palm Island. He hasn’t made monthly payments for most of this year, even after borrowing another $170,000 from friends, according to court papers.

Over the past month, Storch saw his Ferrari Scaglietti and his prized motorcycle, a Bones Bike, repossessed
 
Icadon,
Haya mambo ya Wamerekani kweli huwa yananifanya nisielewe nini kinaendelea. Kila Film inavunja rekodi, Albm inavunja rekodi nk. Sasa huyu bwana nilishasikia kuwa pesa zake ni zaidi ya 70.mlns$. Tukasikia kuwa pia anadrive BUGATTI VEIRON na kanunua bonge la nyumba Miami.
Jamaa kweli ni PIANO MAN ila nafikiri ukali wake ulisaidia sana na D.O.C pamoja na Dr.Dre kwani walimpa kinanda apige staili yao ya G-FUNKY. Hii alikuwa akipiga ila hawa madr wawili walikuwa wakihakikisha anapiga jinsi wao wanavyotaka kama Producers. Sasa hata alipopewa kampuni yake mwenyewe bado ilikuwa chini ya Aftermath na hivyo kuwa na ushirikano moja kwa moja na Dr.dre. Na hapo ndipo akatoa vibao vikali sana kama "EVE-Let me blow your mind", learn back, Candy Shop, Outter control, nk. Ila nafikiri baada ya kuondoka LA na kuja Miami, alijitenga na Madr na hivyo akawa ni yeye na Tuff Jew yake pekee. Nikaona kamchukua hadi mtoto wa Hogan (Mzee wa mieleka). Ila baada ya hapo akaanza kuicha hiyo G-Funky na kuanza styli mpya. Mhhh, naona vitu vimekataa kwani hapandishi chart kama zamani. Hata ule wimbo wa Mario-Let me love you ulitamba muda mfupi sana na ukaisha. Sijui ni KUTUMIA matatizo kujitangaza au ni kweli jamaa kaishiwa. USA wanamuziki wanatumia njia nyingi kujitangaza..... wengine wakitoa album wanaagiza wapigwe RISASI ili chart ipande, MHHH PESA, ohh PESA.
Ila inabidi nimkubalie Timberland kuwa jamaa ni PIANO MAN.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom