Scolarship!!!

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
hivi naomba mnisaidie link yeyote ambayo naweza pata scholarship za masters (business, au ICT relating to business) maana napenda sana kusoma masters but financial am unstable

so anyone anayeweza nisaidia kwa hili.
 
Hivi ndo vilevile kuapply tu wanataka utume dola halafu baadaye unapata admission na unakosa sponsor
 
Hivi ndo vilevile kuapply tu wanataka utume dola halafu baadaye unapata admission na unakosa sponsor

if you don't have anything to same it is better you pass quietly....usikatishe watu moyo wakati hujui nini kilicho humo.....
 
Heading yako rekebisha bwana! Ni scholarship siyo scolarship.

Link moja wapo ni hii hapa: www.scholarships-Links.com,

All the best.

The important thing is to read and understand all the requirement to be selected/awarded a scholarship, then prepare all the necessary documents before applying.

Note: You should also remember that, there are many people who apply for the same scholarship kwa hiyo ujitahidi kuandaa documents zote vizuri na kwa kufuata vipengele vinavyotakiwa ili uweze kushindana na wengine vizuri.

Hakuna miujiza ila ni wewe tu unavyoweza kuwa mdadisi na mfuatiliaji wa taarifa sahihi kuhusu jambo lolote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom