Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 351
Kwa mujibu wa breaking news iliyopo sasa hivi kwenye skysports news ni kwamba Luis Fellipe Scolari, huyu kocha wa sasa wa Portugal na kocha wa zamani wa Brazil ataanza kazi hiyo rasmi kuanzia julai mosi huko darajani Stanmford. Je ataweza? je atadumu?