Scolari na Brazil tena..

Aggrey86

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
853
155
Luiz Felipe Scolari ameteuliwa kushika mikoba ya kocha Mano Menezes aliyeachishwa kazi na chama cha soka cha Brazil, je Luis Felipe Scolari ataweza kuirudisha Brazil aliyokuwa nayo msimu wa 2001 hadi 2002 na kuchukua World cup Brazil ambayo kwa sasa haina Cafu,r.carlos,rivaldo,ronaldo,kaka,dida,emerson,gaucho ambao kwa namna moja au nyingine walimbeba sana Scolari...mi naona jamaa kusudi afanikiwe na kurudisha samba la brazil itabidi achukue wachezaji wengi toka ligi ya nyumbani na si hawa wanaocheza bara la ulaya ambao wameshazoea ligi ya ulaya na kusahau utamaduni wa kibrazil kwenye mpira,au wakuu mnamitazamo ipi?
 
Kanunua mzigo wa mavi.
 
chomba ni maamuma wa dinho! ..... Hakubali kwamba dinho ameshajuja sasa

Dinho bingwa wa zamani, zilikuja zikapendwa.
Alinikera alipokwala tuzo za FIFA ambazo hazikumstahili, moja ilikuwa ya Henry na ingine ya Gerrard
 
Hata hao Henry na Gerrard ukiwauliza watakwambia kuwa walimpigia kura Saint Gaucho...

Gaucho ni nabii wa soka.
bishana kokote, ukiona unaelekea kutepeta nistue
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom